Hao ni wakufungiwa mpaka waozee jela. WAKAWE WAKE WA WAFUNGWA WENZAO.





khaaaaahkwahiyo Reference ya ushoga ni Aunt Assu?? Kumbe chanzo chake cha Ushoga alibakwa?? Na baada ya hapo akaamua kuwa mdangajiii? Basi sawa.
Ni kujiendekeza
Aisee hivi huyo jamaa uliemtag ni kweli anajihusisha na mambo hayo???
kama ni utani ndugu zangu acheni,baadhi ya kauli zinaumba




sasa wee unastukaa nn? Ushoga ni jambo la ajabu? Au halipooo? Kwann uliletaa hapaa??Hapa duniani kuna vitu vina maajabu sana
Niliwah kufatilia video za mtu anaeingiliwa mkunguni nikagundua wote wanauma meno na kukunja sura kuonesha kuwa wanaumia lakini ajabu ni kuwa wanapenda kuingiliwa na wengine wanaomba wenyewe
Mfano ni yule afande wa zanzibar anauma meno na kukunja sura
Naona ushoga sio ugonjwa ni pepo tu la ngono linawaingilia watu






mbavu zinaumaa kwa kuchekaaa.Aisee.. so kwa upande fulani unasupport hii kitu? Sababu ukitetea jambo ni sawa na kuunga mkono
Unakoseaa hadi tag, bibi una nn lakinii wee??Kumbe wewe ni shoga?
@cicastic njoo huku.






Rejea comment niliyokuquote,Be specific naunga mkono kwenye nn?
Hawa. Mashetani wanaanza kuwaharibu watoto wakiwa wadogo, hawajui kitu.Kweli unaweza kujiendekeza kwenye jambo ambalo unajua kabisa jamii au familia itakutenga? Basi hilo jambo litakuwa zito sana.Tafuta maarifa ili ulinfe kizazi chako
Sasa unachukua pesa ya shoga ya nn km hutakiii? Si uombe kwa wanawakee unaowatakaa hao.Mzee chats za mtu FB unazionaje ume hack account au maana huwezi ingia inbox anyway charting ni private ya mtu Kuna chat za mtu ukizipitia unaweza fikiri vibaya kumbe just normal kwasabu ni sehemu private anaweza jitanua.
Nassma hivyo kwasabu hata mimi nishawai chat na shoga akanipa moaka location ukisoma chatting unaweza kunidhani vibaya kumbe sio choko alini inbox mwenyewe baada ya kuona nimeposti picha nanyayua chuma akataka nimpige nikakataa siku nikawa nashida ya hela nikamrudia nikasema atanipa shingapi atume akanifosi mpaka niende kajua nataka kumtaperi na AIM yangu ilikuwa hio atume nisitokee maana nimpige tu hela ila Sasa mtu mwengine akiona hizo chat atasema hee jamaa kumbe anakula mashoga











na mko wengi sanaaa uraiani.user name yako inasadifuAmna hii issue mtu akianza haachi alaf suala la kuanza au kutokuanza ni mazingira na watu ambao mtu anakutana nao, so hamna haja ya kumkwepa jamaa yako as long as mnafanya maisha mengine
Naweza kukubaliana na hoja yako kuwa ni ugonjwa.
Lakini kuna hili kundi la kutengeneza, watoto wanafanyiwa ukatili wakiwa wadogo wanakuwa katika Hali hiyo.
Sisi tunakuja kuhukumu matokeo lkn chanzo kikuu kikiwa ni aina ya malezi katika familia, shule na nyumba za ibada.
Siri ni hivi, binadamu wengi ni bisexual na ni wachache ambao ni Straight, sasa kundi la hatari ni hili la bisexual, hawa ndio tatizo kubwa .Straight men hawana shida na gays, sababu hawawaelewi na huona ni non of their bussness. Lakini hawa Bisexuals ndio hawa walio wakali , wanao tukana na kukemea mashoga kwa nguvu zote na kulaani , hii ni kwanini? Jibu ni kwamba Bisexuals wana uwezo wa kuchagua walale na nani , hivyo wao kwa vile huchagua huwa na wivu mkubwa kwa gays ambao wao gays hawana uwezo wa kuchagua walale ni nani ,wao wana uwezo wa kulala na wale wa jinsia yao peke yao, hapo ndio hawa bisexual kwa sababu ya dini au mazingira ya jamii, huamua kuchagua kulala na opposite sex ili tuu waheshimike na jamii, huku moyoni wakiumia kutamani kua na same sex , hapo ndio huchukia gays na kuwa wakali kwasababu wao wanajiona hawako huru wakati gays wako huru, na ndio hizo kelele mnazo ziona wana kemea kwa nguvu kubwa , huku wakifanya michezo hiyo kisiri sana ili wasijulikane na ndio hao husema kwamba fulani kaamua kuwa shoga , bila kujua kwamba huyo aliyeshoga yeye ni shoga hawezi kuamua , ila yeye kwa kuwa ni bisexual ana uwezo wa kuchagua na kuamua alale na nani, na ndio hapo hawa bisexual wana kelele nyingi kuhusu ushoga kwa kuupinga huku wakiupenda kisiri .Aisee.. so kwa upande fulani unasupport hii kitu? Sababu ukitetea jambo ni sawa na kuunga mkono
Ukweliii ndo huu sasa, na umemaliza kila kitu.Western countries haziwalazimishi au kuwaforce watu kuwa mashoga bali wanachiongelea ni kwamba hao mashoga waliopo huku africa wasubaguliwe kisa wao wanafanya mapenzi ya jinsia moja sio kweli wanataka waafrica wawe mashoga.
Mashoga huku africa pia tunawatengeneza wenyewe ila hatutaki kuadmit,unakuta mtu huku analaumu mashoga ila yeye pia ni chanzo kwa kuwa ni irresponsible father kampatia mwanamke mimba halafu huyo mwanamke kajifungua mtoto wa kiume ila kwa namna moja au nyingine hashiriki katika malezi ya huyo mtoto wa kiume,kinachotokea yule mama anamlea huyo mtoto yeye anavyoona anafaa kumbe kuna characters nyingine za kike anampa sasa anapokuja kukukua anakuta anamiss uanaume na kuutafuta kwa wenzake which is atakuwa answafanya au anafanywa.
Pili ni malezi ya kindezi ambayo mnawalea watoto wenu wa kiume,yaani kupata viti kirahisi bila kutaka kuangaika mwisho wa siku wanakuwa wanawashobokea wanaume wenzao na baadhu ya hao wanaume either wanataka wawakomoe au ukute nao wanatafuta attractiveness ya kiume hapo ndo shida inakuja.Unakuta mtito wa kiume hawezi kuvumilia shida au kujua kama huku duniani kuna kupata na kukosa.
Tatu siku hizi kufanya mapenzu kinyume cha maumbile imekuwa kama fashion mjini,huyo aliyezoea kufanya hiyo michezo kwa mtu wake mwisho wa siku kunakuwa hakubani kama mwanzo so hasikii raha sasa ndo kutafuta wenye waliobana iki apate raha,hapo sasa ndo inakuja kukutana na vijana ambao wanapenda mteremko ndo hivyo tena anaona kwani bei gani kuachia nyuma?
Nne watu wanapenda kujaribu vitu kutokana na kuangalia hizo porn mwisho wa siku anataka kujaribu kama mfanyaji ila kuna muda utaenda atataka kujarubu kufanywa ndo hivyo anapotea.
Kabla ya kuwanyooshea vidoke wazungu tujikague wenyewe,tutashindwa kuusaidia jamii yetu kwa kushindwa kudili na chanzo



Ukianza kutamani pesa ya shoga ipo siku utajikuta umemla kweli!Mzee chats za mtu FB unazionaje ume hack account au maana huwezi ingia inbox anyway charting ni private ya mtu Kuna chat za mtu ukizipitia unaweza fikiri vibaya kumbe just normal kwasabu ni sehemu private anaweza jitanua.
Nassma hivyo kwasabu hata mimi nishawai chat na shoga akanipa moaka location ukisoma chatting unaweza kunidhani vibaya kumbe sio choko alini inbox mwenyewe baada ya kuona nimeposti picha nanyayua chuma akataka nimpige nikakataa siku nikawa nashida ya hela nikamrudia nikasema atanipa shingapi atume akanifosi mpaka niende kajua nataka kumtaperi na AIM yangu ilikuwa hio atume nisitokee maana nimpige tu hela ila Sasa mtu mwengine akiona hizo chat atasema hee jamaa kumbe anakula mashoga
Tenannikimuona au nikijuwa, nimi bdiyo nampeleka Uganda kwa Museveni.
Namwambia kwa utaratibu, twende Uganda tukatembee, tukifika huko namripuwa nageuza narudi.
Maisha yanaendelea.
Ni heri uumie roho mara moja kuliko maisha yako yote, unakaa na toto shoga.





bibi umecharukaa sio mchezo, utadhani una maanisha sasa, kumbe ni changamsha keyboard tyuuh.Ipo siku watajua tu.Usiongee hivyo nyie ndo mkija kugundua watoto wenu wanahiyo michezo mnakufa kabisa na pressure.Mimi kuna mtu namfahamu kabisa ni shoga ila sidhani hata wazazi wake wanajua.
Pita kwa mangi pata chochoteee nakuja kulipaaa. Hiki.ulicho kisema ndo huwa nasema kila siku,Siri ni hivi, binadamu wengi ni bisexual na ni wachache ambao ni Straight, sasa kundi la hatari ni hili la bisexual, hawa ndio tatizo kubwa .Straight men hawana shida na gays, sababu hawawaelewi na huona ni non of their bussness. Lakini hawa Bisexuals ndio hawa walio wakali , wanao tukana na kukemea mashoga kwa nguvu zote na kulaani , hii ni kwanini? Jibu ni kwamba Bisexuals wana uwezo wa kuchagua walale na nani , hivyo wao kwa vile huchagua huwa na wivu mkubwa kwa gays ambao wao gays hawana uwezo wa kuchagua walale ni nani ,wao wana uwezo wa kulala na wale wa jinsia yao peke yao, hapo ndio hawa bisexual kwa sababu ya dini au mazingira ya jamii, huamua kuchagua kulala na opposite sex ili tuu waheshimike na jamii, huku moyoni wakiumia kutamani kua na same sex , hapo ndio huchukia gays na kuwa wakali kwasababu wao wanajiona hawako huru wakati gays wako huru, na ndio hizo kelele mnazo ziona wana kemea kwa nguvu kubwa , huku wakifanya michezo hiyo kisiri sana ili wasijulikane na ndio hao husema kwamba fulani kaamua kuwa shoga , bila kujua kwamba huyo aliyeshoga yeye ni shoga hawezi kuamua , ila yeye kwa kuwa ni bisexual ana uwezo wa kuchagua na kuamua alale na nani, na ndio hapo hawa bisexual wana kelele nyingi kuhusu ushoga kwa kuupinga huku wakiupenda kisiri .
Basi ukisha ona mwanaume ana kemea sana ushoga na kuulaani, basi kuna uwezekano mkubwa sana huyo mwanaum ni bisexual .Bisexuala haamini kama kuna gays ,bisecxual wanaa mini kwamba binadamu una weza chagua sababu wakijiona wao wana weza chagua , wanajiuliza kwanini na wewe ushindwe chagua kuwa straight ? ndio hapo tatizo kubwa huja .







Ninakunywa Pepsi baridi hapa kwa mangi , lol , bisexuality ndio tatizo kubwa sana wa hizikelele zote kabis a.Pita kwa mangi pata chochoteee nakuja kulipaaa. Hiki.ulicho kisema ndo huwa nasema kila siku,
BISEXUALS ndo tatizo kuu.
Hawana amani wala raha na role yao, wanataka kila role wawe km wao. Woiiiiiiiih