Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Gambia imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa mpox baada ya kugunduliwa kisa kimoja kupitia mfumo wa uchunguzi wa kawaida. Ugonjwa huo, ambao ni dharura ya afya ya kimataifa, unazidi kuenea katika nchi za Afrika Magharibi. Wizara ya Afya ya Gambia imesema kuwa kugundulika kwa kisa hiki katika nchi ambayo haikuwa na mpox kunahitaji majibu ya haraka, ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji wa wagonjwa na waliokaribiana nao, pamoja na kutoa elimu kwa jamii ili kuzuia maambukizi zaidi.
Mpox unasababishwa na virusi wa familia moja na ndui na unaweza kuambukizwa kupitia wanyama walioambukizwa au mawasiliano ya karibu kati ya watu.
Ugonjwa huu uligunduliwa kwa mara ya kwanza kwa binadamu mwaka 1970 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na husababisha homa, maumivu ya misuli, na vidonda vikubwa vya ngozi vinavyofanana na majipu, na unaweza kusababisha kifo.
Mpox una makundi mawili: clade 1 na clade 2. Gambia inaendelea na upimaji wa vinasaba kubaini kundi lililopo.
Nchi jirani kama Sierra Leone, Liberia, na Guinea zimebaini visa vingi vya ugonjwa huu mwaka huu, huku pia maelfu ya visayamerekodiwa DR Congo, Uganda, na Burundi. WHO inaendelea kufuatilia hali hii kwa makini.
---
The Gambia reported an outbreak of mpox Tuesday with detection of a single case, as several nearby countries have recorded recent increases in infections.
Mpox remains an international health emergency, the World Health Organization's director said last month, amid a rise in West Africa.
"A case of mpox has been detected in the country through the routine surveillance system," The Gambia's Ministry of Health said in a statement, adding that the disease was detected on Friday.
"The detection of a single case in a country where mpox is not presently in circulation constitutes an outbreak, requiring immediate response," it said.
The ministry said it was actively looking for cases, carrying out contact tracing and community engagement to prevent the disease's spread.
Mpox is caused by a virus from the same family as smallpox. It can be transmitted to humans by infected animals but can also be passed between people through close physical contact.
The disease, which was first detected in humans in 1970 in the Democratic Republic of Congo, causes fever, muscular aches and large boil-like skin lesions, and can be deadly.
It has two subtypes: clade 1 and clade 2.
Sequencing is being carried out to determine the virus subtype in The Gambia, the ministry said.
From January to late May of this year, nearby Sierra Leone recorded a total of 3,350 cases, including 16 deaths.
Liberia had some 71 active cases in early June, according to its National Public Health Institute.
Guinea meanwhile reported last week that the number of cases within its 2/3 border since the disease was detected last September had surpassed 200.
Thousands of cases have also been recorded this year across DR Congo, Uganda and Burundi, according to WHO.
Source: Medical Xpress