Wanachoboa watu wa west ni kutaka kuuchomeka kila pahala, kwenye movies saivi uchoko umejaa.
Nilikua sijaicheki series ya El chapo, kuja kucheki kudadeki kuna machoko mule.
Kuna series nyingine niliangalia kama season 2 hivi ya tatu jamaa yangu alieicheki akasema mule ndani wamarekani washaanza yao, basi hata hamu sikua nayo.
Sijui labda huko kwao hii ishu ni normal ila huku kiukweli movie inakata stim uchoko ukitawala sana aisee.
Western countries haziwalazimishi au kuwaforce watu kuwa mashoga bali wanachiongelea ni kwamba hao mashoga waliopo huku africa wasubaguliwe kisa wao wanafanya mapenzi ya jinsia moja sio kweli wanataka waafrica wawe mashoga.
Mashoga huku africa pia tunawatengeneza wenyewe ila hatutaki kuadmit,unakuta mtu huku analaumu mashoga ila yeye pia ni chanzo kwa kuwa ni irresponsible father kampatia mwanamke mimba halafu huyo mwanamke kajifungua mtoto wa kiume ila kwa namna moja au nyingine hashiriki katika malezi ya huyo mtoto wa kiume,kinachotokea yule mama anamlea huyo mtoto yeye anavyoona anafaa kumbe kuna characters nyingine za kike anampa sasa anapokuja kukukua anakuta anamiss uanaume na kuutafuta kwa wenzake which is atakuwa answafanya au anafanywa.
Pili ni malezi ya kindezi ambayo mnawalea watoto wenu wa kiume,yaani kupata viti kirahisi bila kutaka kuangaika mwisho wa siku wanakuwa wanawashobokea wanaume wenzao na baadhu ya hao wanaume either wanataka wawakomoe au ukute nao wanatafuta attractiveness ya kiume hapo ndo shida inakuja.Unakuta mtito wa kiume hawezi kuvumilia shida au kujua kama huku duniani kuna kupata na kukosa.
Tatu siku hizi kufanya mapenzu kinyume cha maumbile imekuwa kama fashion mjini,huyo aliyezoea kufanya hiyo michezo kwa mtu wake mwisho wa siku kunakuwa hakubani kama mwanzo so hasikii raha sasa ndo kutafuta wenye waliobana iki apate raha,hapo sasa ndo inakuja kukutana na vijana ambao wanapenda mteremko ndo hivyo tena anaona kwani bei gani kuachia nyuma?
Nne watu wanapenda kujaribu vitu kutokana na kuangalia hizo porn mwisho wa siku anataka kujaribu kama mfanyaji ila kuna muda utaenda atataka kujarubu kufanywa ndo hivyo anapotea.
Kabla ya kuwanyooshea vidoke wazungu tujikague wenyewe,tutashindwa kuusaidia jamii yetu kwa kushindwa kudili na chanzo