Huyu ndio utakuta ni kinara wa hayo mambo , hapo ana vunga tuu , ilemkute mwenywe utashangaa.bibi umecharukaa sio mchezo, utadhani una maanisha sasa, kumbe ni changamsha keyboard tyuuh.
Huyu ndio utakuta ni kinara wa hayo mambo , hapo ana vunga tuu , ilemkute mwenywe utashangaa.bibi umecharukaa sio mchezo, utadhani una maanisha sasa, kumbe ni changamsha keyboard tyuuh.
Wanachoboa watu wa west ni kutaka kuuchomeka kila pahala, kwenye movies saivi uchoko umejaa.
Nilikua sijaicheki series ya El chapo, kuja kucheki kudadeki kuna machoko mule.
Kuna series nyingine niliangalia kama season 2 hivi ya tatu jamaa yangu alieicheki akasema mule ndani wamarekani washaanza yao, basi hata hamu sikua nayo.
Sijui labda huko kwao hii ishu ni normal ila huku kiukweli movie inakata stim uchoko ukitawala sana ushetani umewaingia hatupaswi kuwasilikiliza. Inabd tuungane na m7
Cocastic hemu funguka usione tabu ,hivi mnakuwa mnapata hisia za utamu?Pita kwa mangi pata chochoteee nakuja kulipaaa. Hiki.ulicho kisema ndo huwa nasema kila siku,
BISEXUALS ndo tatizo kuu.
Hawana amani wala raha na role yao, wanataka kila role wawe km wao. Woiiiiiiiih
Uganda wale wanaowashawishi normal persons kuwa abnormal persons watauawa. Mashirika yanayofadhili ujinga huu yatafutwa na kupelekwa Mahakamani kwa mujibu wa Sheria za Uganda.Ukitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.
Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.
Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.
Mungu atulinde kwa kweli
Nisha kutana na jamaa smart ana mke na watoto akaniomba nimgonge sasa mtu kama huyo utasema ni ugonjwa au kujiendekeza?Kweli unaweza kujiendekeza kwenye jambo ambalo unajua kabisa jamii au familia itakutenga? Basi hilo jambo litakuwa zito sana.Tafuta maarifa ili ulinfe kizazi chako
Sasa unachukua pesa ya shoga ya nn km hutakiii? Si uombe kwa wanawakee unaowatakaa hao.
Unasema wazi eti nlikua na shida ya pesa, ndo nyie mkipandishiwa dau mnainamaaa,na mko wengi sanaaa uraiani.
Acha illusion illusionUkianza kutamani pesa ya shoga ipo siku utajikuta umemla kweli!
Chunga sana tamaa
Ushoga ni ukilema wa akili , ninachodhani ni hitlafu fulani kwenye akili inayo pelekea kutamani jinsia zote au jinsia unayo fanana nayo , mashoga wote hakuna anaye taka kuwa shoga , mashoga hutamani kuwa kama wengine lakini uhalisia w maamanio ya mwili hua magumu sana kushindana nayo, Jiulize wewe straight men, una wezaje kuamua tuu usifanye ngono milele , je unaweza ? ningumu sana
Mtu kama huyu ni bisexual yani ana matamanio ya kingono kwa mwanaume na mwanamke , mtu kama huyo wako wengi , inasmekana karibu binadamu walio asilimia kubwa ni wako hivyo ila kinacho fanya wengi wasijitokeze kwnye kufanya na jinsia yake au kujificha na kufanya kwa siri ni sababu tuu ya imani ya dini au utamaduniw a sehemu husika . Watu kama hao ndio wengi huwa wana tukana na kukemea mashoga sababu wao wana uwezo wa kuamua kuacha au kuto jihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kupunguza ukali wa hamua ya mapenzi kwa mtu wa jinzia nyingine,Sasa watu kama hao wanapo ona kuna watu wana fanya mapenzi ya jinsia moja , huwa akali kwa sababu wanaona wezao wako huru , pili kama yeye kaweza acha kwanini na mwingine asiweze acha, wengi wana kua jhawajitambui kwamba wao ni bisexual hivyo nirahisi kwa wao kujizuia , ila yule aliye gay hawezi jizuia sababu hana uwezo wa kuchagua.Nisha kutana na jamaa smart ana mke na watoto akaniomba nimgonge sasa mtu kama huyo utasema ni ugonjwa au kujiendekeza?
Ukweli umesema hapo .Upo sahihi mkuu, [mention]FaizaFoxy [/mention] Kuna kitu watu wengi hua hawajui kuhusu hawa watu, kwanza tambua wapo kimakundi, kundi la kwanza ni wale waliopitia unyanyaswaji wa kiongono wakiwa bado wadogo, kuna walio kua inspired na mazingira, na kuna walio pitia mazingira yenye maadili mabovu.
Na kama kuna mtu wa kupewa adhabu kwanza basi ni wazazi au walezi wa hao watu, asilimia 99 wao ndo chanzo kwa uzembe wao na kutokua na maalifa yakutosha kuhusu malezi.
1-UNYANYASWAJI WA KIN’GONO.
Hili kundi sio wengi sana na wamejikuta kwenye hii hali baada ya kupitia mtu au watu, unaweza kua na mtoto wa kiume hapo anakuaga anakwenda tution,mpirani,kucheza kwa jirani, kusoma na wenzake and etc ila uko anakoenda hujui anakutana na nini mpaka anafika na anarudi.
Mfano; Zamani kidogo kulikua na tabia ya mtaani kama kuna nyumba anaishi mwalimu karibu ndo inakua sehemu ya tution ya wanafunzi baada ya masomo ya mchana, kuna mtoto mmoja wakiume tulikuja kujua ye alikua akilawitiwa na mtoto wa mwenye nyumba(Mwalimu) alipokua anasomea tution, na iyo kitu kinaongelewa kisirisiri na hakuna hatua zilizowahi kuchukuliwa kwa uyo mtoto na sijui mpaka leo yupo wapi! Ila sintoshangaa kama uyo mtoto atakuja kua shoga au kufanyia wenzake matendo yakishoga maana hakuwahi kupata msaada wowote wa kisaikolojia maybe uko alikoenda alipata sina hakika.
2-INSPIRED NA MAZINGIRA
Hapa nitagusia sasa mapokeo ya watoto binafsi yao.
kuna tabia ya kuwaacha watoto watazame tv bila uangalizi
kuna tabia ya kuacha watoto wakiume wacheze MICHEZO YA KIKE michezo mnaijua
kuna tabia ya kuacha watoto wakiume wakae mda wote na dada zake.
Zipo nyingi ila ntaongelea izo kwa sasa.
Mzazi jua unaporuhusu mtoto wako wakiume kua karibu sana na vyumba vya dada zake michezo and etc, bas jua kupona kwa uyo mtoto kutoka kwenye ushoga ni swala la mungu nisaidie, mtoto wakike ukimruhusu akae na kaka zake sana kuna tabia za kiume kiume atazibeba mfano atajikuta tuu anajua kupigana, kuendesha baiskeri, kucheza mpira na kadharika na pia ndo ivo ivo wakiume ukiruhusu akae karibu na watoto wakike kuna tabia ataziiba mfano Umbea, kupenda kujiremba, kupenda mapishi usafi sana na kadharika, so muda unapozidi kusogea unakuta anaanza kuona kwake ni raha zaidi ule ufeminist ukiwa parfect ndo apo ataanza kujitenda automatic na watoto wakiume na ataanza kupenda mambo yote ya kike na mwisho atatamani mwenyewe binafsi kupata kidume chake ili awe kama dada zake na awe dominated kama dada zake.
3-MAADILI MABOVU
Hapa sasa nitaongelea general na haswa hawa masingle mother, na wale mamazetu walio kwenye mazingira ya kiswahili (maadili zero streets ), kuna ile tabia unakuta wamama ndo wanasauti kwenye nyumba, wao ndo kila kitu na wengine wanaishi bila waume kwenye nyumba zao, huku ndo kunazalisha hawa mashoga kwa asilimia kubwa.
Unaweza kuta mwanamke anamlea mwanawe kama mtoto wakike tokea akiwa mdogo yani mtoto wakiume anakua kama mkoba wa mama, hapewi chansi ya kuziona changamoto zozote, tokea mdogo anafundishwa kua ukiumia/ukiumizwa lia nitakubembeleza, wakikuonea mimi mamayako nitakupambania so mwisho wasiku wanazani ndo upendo ila wanaipoteza jamii ya kiume na hasa (ALPHA MALES) wanao weza protect na kutawala mazingira, pia ili kundi huafundisha watoto wao kazi za kike(najua hapa nitapigwa vibaya mno) ila trust me kuna kazi inabidi zifanywe hasa na watoto wakiume zaidi na kuna kazi inabidi wafanye watoto wakike zaidi. Mkitaka ufafanuzi ntafafanua ila kwasasa namilizia ivi;
Tazama jamii zinazo enzi mila na tamaduni zao hususan watoto wakiume, mfano wamang’ati, wamasai, wakurya and etc pia chunguza korea ya Kiduku na uchina sizani kama watakua na good number za ushoga kama jamii ambazo western calture imeenea zaidi, kama uku Africa zamani wakina chief Mkwawa walivyokua wanalea jamii ya watoto wakiume kwa jicho kali sidhani kama aya mambo tungeyasikia. Tumeacha tamaduni zetu leo hii watoto wakiume wangekua wanalelewa na wanaume wenzao hasa wazee wa kaya na kuwaweka responsible 24 hrs usingekaa ukasikia huu utoporo.
Nb, nisamehewe huandishi wangu sio mzuri.
Mtu kama huyu ni bisexual yani ana matamanio ya kingono kwa mwanaume na mwanamke , mtu kama huyo wako wengi , inasmekana karibu binadamu walio asilimia kubwa ni wako hivyo ila kinacho fanya wengi wasijitokeze kwnye kufanya na jinsia yake au kujificha na kufanya kwa siri ni sababu tuu ya imani ya dini au utamaduni wa sehemu husika . Watu kama hao ndio wengi huwa wana tukana na kukemea mashoga sababu wao wana uwezo wa kuamua kuacha au kuto jihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kupunguza ukali wa hamua ya mapenzi kwa mtu wa jinzia nyingine,Sasa watu kama hao wanapo ona kuna watu wana fanya mapenzi ya jinsia moja , huwa akali kwa sababu wanaona wezao wako huru , pili kama yeye kaweza acha kwanini na mwingine asiweze acha, wengi wana kua jhawajitambui kwamba wao ni bisexual hivyo nirahisi kwa wao kujizuia , ila yule aliye gay hawezi jizuia sababu hana uwezo wa kuchagua.
1.08 na zinazidi kupungua zaidiUshoga umepewa odds ngapi?
Ninakunywa Pepsi baridi hapa kwa mangi , lol , bisexuality ndio tatizo kubwa sana wa hizikelele zote kabis a.



haswaaahHuyu ndio utakuta ni kinara wa hayo mambo , hapo ana vunga tuu , ilemkute mwenywe utashangaa.





Sasa km hawapati ndo wangekua wanafanyaa jamanii?Cocastic hemu funguka usione tabu ,hivi mnakuwa mnapata hisia za utamu?