Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Nenda kaangalie bongo movies hujalazimishwa kucheki muvie za west,
Aliesema kalazimishwa ni nani??
Kwani wewe ni punga, sitegemei straight akatoa comment kama hii!!

Ulichosema hapo ni sawa na Mwigulu alipoona wananchi wanalalamika hali ngumu akawaambia kama hali ni ngumu waende Burundi.
 
Kwaiyo tayari anajihusisha na hizo mambo.

Daaah ila kuzaliwa na hizo feelings ni adhabu,hakuna tofauti na mlemavu,
Ana jihusisha Kabisa hila sasa yy ajalegea kivile anasema kwao hakuna aliyemgundua
 
Ukitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.

Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.

Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.

Mungu atulinde kwa kweli

kuna wanyama mashoga[emoji3][emoji3][emoji3]hujawai fuga mbuzi ww!
 
Ukitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.

Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.

Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.

Mungu atulinde kwa kweli

Mwanzoni kabisa wa hili tatizo wazungu walijaribu kulitafutia dawa…
Well tunajua hawa watu hujaribu kutatua kila kitu

Ni kweli Ushoga au homo ilisadikika n ugonjwa kama magonjwa mengine bas watafiti wakaingia kazini

Nao wakawa mashoga!! Utafiti ukaishia hapo miaka kadhaa wakauondoa katka orodha ya magonjwa
 
Kwamba ni inaweza ikawa ni masuala ya homonal imbalance.

Ila mbona kuna watu wanazaliwa normal kabisa,wababadilika ukubwani?

Unajua nimeandika hapa baada ya kukuta chati za rafiki yangu na shoga huko fb wakipeana location.

Sasa nimewaza sana sababu jamaa ni classmate wangu namfahamu fika,..nimeanza kumkwepa

zipost nasisi tuhakikishe
 
Amna hii issue mtu akianza haachi alaf suala la kuanza au kutokuanza ni mazingira na watu ambao mtu anakutana nao, so hamna haja ya kumkwepa jamaa yako as long as mnafanya maisha mengine

mbona naww hilo jina ninaonesha unatafuta mabwabwa[emoji3][emoji3][emoji3]kwene msafara wa mamba bwana….
 
Ni matokeo ya afya ya akili,kama ilivyo umalaya ni magonjwa ya akili yote
 
Back
Top Bottom