Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Hapo si ndio kuwapa wanachotaka, au jela hakupaswi kuwa na maadili mema?
Wakafie huko, wasituharibie jamii, hapo tena ni wote wanapelekwa mfanyaji na mfanywaji. Maana huwezi kufanyia wenzako kama mwenyewe hufanywi.
 
Safi sana, huko ndiko wenye matatizo wanapelekwa. Au wajitibu au wajitatulie au wendelee nayo. Simpo. Unataka waache kwenye jamii?

Bado hujatibu chanzo cha ttzo,huko magerezani watapata mabasha hao askari magereza na askari magereza wakirudi kwenye jamii ni mwendo wa kufukua tope,wengi suala la ushoga mnakosea jinsi ya kulishughulikia mnaongozwa na illusions za kidini zaidi.
 
Wanachoboa watu wa west ni kutaka kuuchomeka kila pahala, kwenye movies saivi uchoko umejaa.

Nilikua sijaicheki series ya El chapo, kuja kucheki kudadeki kuna machoko mule.
Kuna series nyingine niliangalia kama season 2 hivi ya tatu jamaa yangu alieicheki akasema mule ndani wamarekani washaanza yao, basi hata hamu sikua nayo.

Sijui labda huko kwao hii ishu ni normal ila huku kiukweli movie inakata stim uchoko ukitawala sana aisee.

Nenda kaangalie bongo movies hujalazimishwa kucheki muvie za west,
 
Western countries haziwalazimishi au kuwaforce watu kuwa mashoga bali wanachiongelea ni kwamba hao mashoga waliopo huku africa wasubaguliwe kisa wao wanafanya mapenzi ya jinsia moja sio kweli wanataka waafrica wawe mashoga.
Mashoga huku africa pia tunawatengeneza wenyewe ila hatutaki kuadmit,unakuta mtu huku analaumu mashoga ila yeye pia ni chanzo kwa kuwa ni irresponsible father kampatia mwanamke mimba halafu huyo mwanamke kajifungua mtoto wa kiume ila kwa namna moja au nyingine hashiriki katika malezi ya huyo mtoto wa kiume,kinachotokea yule mama anamlea huyo mtoto yeye anavyoona anafaa kumbe kuna characters nyingine za kike anampa sasa anapokuja kukukua anakuta anamiss uanaume na kuutafuta kwa wenzake which is atakuwa answafanya au anafanywa.
Pili ni malezi ya kindezi ambayo mnawalea watoto wenu wa kiume,yaani kupata viti kirahisi bila kutaka kuangaika mwisho wa siku wanakuwa wanawashobokea wanaume wenzao na baadhu ya hao wanaume either wanataka wawakomoe au ukute nao wanatafuta attractiveness ya kiume hapo ndo shida inakuja.Unakuta mtito wa kiume hawezi kuvumilia shida au kujua kama huku duniani kuna kupata na kukosa.
Tatu siku hizi kufanya mapenzu kinyume cha maumbile imekuwa kama fashion mjini,huyo aliyezoea kufanya hiyo michezo kwa mtu wake mwisho wa siku kunakuwa hakubani kama mwanzo so hasikii raha sasa ndo kutafuta wenye waliobana iki apate raha,hapo sasa ndo inakuja kukutana na vijana ambao wanapenda mteremko ndo hivyo tena anaona kwani bei gani kuachia nyuma?
Nne watu wanapenda kujaribu vitu kutokana na kuangalia hizo porn mwisho wa siku anataka kujaribu kama mfanyaji ila kuna muda utaenda atataka kujarubu kufanywa ndo hivyo anapotea.

Kabla ya kuwanyooshea vidoke wazungu tujikague wenyewe,tutashindwa kuusaidia jamii yetu kwa kushindwa kudili na chanzo

Wengi suala la ushoga wanalijadili kwa mihemko yao ya kidini ila hili ni chanzo cha malezi mabovu,wazungu wamepambana sana na ushoga hadi wakasalimu amri,imebidi tu wakubaliane na hali kwa sababu ya kosa kuu la malezi,
 
Miaka ya 1970 kurudi nyuma Marekani ilikuwa inautambua ushoga kama ni ugonjwa wa akili. UN pia walikuwa na position hiyo. Na kwa US ilikuwa kabla ya kuwa promoted au appointed kwenye ngazi za juu, unapimwa kwanza kama ni shoga ama la. Ukibainika, basi cheo hicho hukipati.
 
Walikuwa wanapimwa vipi?
 
No hii issue bhna Mimi naisi ni upungufu wa hormone fulani juzi Kati kuna dogo kanisimulia njinsi anavyopata shida kutamani wanaume anasema kazaliwa hivyo yeye Hana feeling kabisa na wanawake
 
No hii issue bhna Mimi naisi ni upungufu wa hormone fulani juzi Kati kuna dogo kanisimulia njinsi anavyopata shida kutamani wanaume anasema kazaliwa hivyo yeye Hana feeling kabisa na wanawake
Msaidie awaone psychologists wamsaidie ataambukiza watu wengi sana kwenye jamii yetu
 
No hii issue bhna Mimi naisi ni upungufu wa hormone fulani juzi Kati kuna dogo kanisimulia njinsi anavyopata shida kutamani wanaume anasema kazaliwa hivyo yeye Hana feeling kabisa na wanawake
kama nini mskume kutu
 
Kwamba ni inaweza ikawa ni masuala ya homonal imbalance.

Ila mbona kuna watu wanazaliwa normal kabisa,wababadilika ukubwani?

Unajua nimeandika hapa baada ya kukuta chati za rafiki yangu na shoga huko fb wakipeana location.

Sasa nimewaza sana sababu jamaa ni classmate wangu namfahamu fika,..nimeanza kumkwepa
Hiyo imbalance unayozungumzia haimfanyi mtu kuingiliwa never. Tumekaa na tumesoma na watu wa hivyo wengi. Kuingiliwa ni kitu kingine na hizo imbalance ni kitu kingine. Hilo tatizo ni mapepo au nguvu za giza moja kwa moja. Na shetani humuingia mtu kutamani kufanya hivyo kwa njia mbalimbali.
 
No hii issue bhna Mimi naisi ni upungufu wa hormone fulani juzi Kati kuna dogo kanisimulia njinsi anavyopata shida kutamani wanaume anasema kazaliwa hivyo yeye Hana feeling kabisa na wanawake
Kwaiyo tayari anajihusisha na hizo mambo.

Daaah ila kuzaliwa na hizo feelings ni adhabu,hakuna tofauti na mlemavu,
 
Back
Top Bottom