Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Ushoga ni ukilema wa akili , ninachodhani ni hitlafu fulani kwenye akili inayo pelekea kutamani jinsia zote au jinsia unayo fanana nayo , mashoga wote hakuna anaye taka kuwa shoga , mashoga hutamani kuwa kama wengine lakini uhalisia w maamanio ya mwili hua magumu sana kushindana nayo, Jiulize wewe straight men, una wezaje kuamua tuu usifanye ngono milele , je unaweza ? ningumu sana
 
Usiongee hivyo nyie ndo mkija kugundua watoto wenu wanahiyo michezo mnakufa kabisa na pressure.Mimi kuna mtu namfahamu kabisa ni shoga ila sidhani hata wazazi wake wanajua.
Tenannikimuona au nikijuwa, nimi bdiyo nampeleka Uganda kwa Museveni.

Namwambia kwa utaratibu, twende Uganda tukatembee, tukifika huko namripuwa nageuza narudi.

Maisha yanaendelea.

Ni heri uumie roho mara moja kuliko maisha yako yote, unakaa na toto shoga.
 
Kwamba ni inaweza ikawa ni masuala ya homonal imbalance.

Ila mbona kuna watu wanazaliwa normal kabisa,wababadilika ukubwani?

Unajua nimeandika hapa baada ya kukuta chati za rafiki yangu na shoga huko fb wakipeana location.

Sasa nimewaza sana sababu jamaa ni classmate wangu namfahamu fika,..nimeanza kumkwepa
Hao unao sema wame badilika ukubwani ni kwamba ulikua hujui maisha yao, Mashoga wengi ni wanajua kuficha hiyo hali , una weza kaa naye na usijue siku ambapo anataka amzingira salama ndio utaweza jua na kushangaa ukasema ame kuja kuw ukubwani, Mashoga wengi wana jitambua toka utoto. Sikiliza mashoga wenyewe wakiongea na sio kumsikiliza asiye shoga akijaribu vaa viatu vya shoga.
 
Tenannikimuona au nikijuwa, nimi bdiyo nampeleka Uganda kwa Museveni.

Namwambia kwa utaratibu, twende Uganda tukatembee, tukifika huko namripuwa nageuza narudi.

Maisha yanaendelea.

Ni heri uumie roho mara moja kuliko maisha yako yote, unakaa na toto shoga.

Huna akili(sorry to say that) tafuta chanzo,je watoto wako wote wakiwa hivyo utauwa wote? Na ubaki bila mtoto? Will you manage?
 
Mtafuteni ant Asu siku ni mtumishi wa Mungu ameielezea vizur sana dhana ya ushoga kwa sababu ameishi ushoga kwa miaka 26 akiolewa Mara mbili,akipitia maisha ya kubakwa,kujiuza sehemu zote maarufu nchini ikiwemo kwa macheni amekuwa MWENYEKIT wa mashoga nchini.
Leo ameoa mke mzuri tu ana watoto wawili wa kiume hamu yule mdudu wa kuwashwa kutamani kuingiliwa hayupo Tena,nguvu zake za kiume zimerudi uanaume wake umerudi kaamua kuishi maisha ya kumtumikia Mungu ana hubiri injili,anatoa elimu na mafunzo jinsi ya kuacha ushoga.
Unaweza mpata YouTube kwa majadiliano binafsi.
kwahiyo Reference ya ushoga ni Aunt Assu?? Kumbe chanzo chake cha Ushoga alibakwa?? Na baada ya hapo akaamua kuwa mdangajiii? Basi sawa.
 
Mi nahisi ni suala la hormones japo sina hakika pia.
Sio kweli , kungekuw ana treatment yaku balance hizo hormon, sexuality ni kitu kikubwa na hakiamuliwa na hormone, jiulize kama wew eni straight je una weza sex na same sex? kama ni straight utataka kutapika , jiulze kwanini wengine hawatapiki?
 
Ni undefined mkuu…..Mimi hao mashoga ambao wapo sababu ya malezi na changamoto nyingine nitawatetea popote ila hao ambao ni tamaa zao tu i have notbing to defend them
Aisee.. so kwa upande fulani unasupport hii kitu? Sababu ukitetea jambo ni sawa na kuunga mkono
 
Back
Top Bottom