bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,302
Kwa kesi chache Pana mtumishi wa Mungu Kenya maana Kenya haiishi matukio anaitwa Apostle Darlan Rukih ana huduma kubwa tu pia ni muimbaji wa nyimbo za injili ana bio yaani ke na me anasema ana watoto wawili mmoja aliolewa akashika mimba akazaa mwingine alio mwanamke akamzalisha.
Sasa hivi yupo single anaishi hivyo vyovyote waumini wake watakavyomuita kwake ni ok umuite madam, mtume,baba sawa tu.
Sasa hivi yupo single anaishi hivyo vyovyote waumini wake watakavyomuita kwake ni ok umuite madam, mtume,baba sawa tu.