Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

Wengine wanasema ni ugonjwa wa mijini vijijini kwenye maadili angalabu kusikia hiki kitu
 
Alafu pia hii issue kama wewe haufanyi huwezi kuelewa kama vitu vingine tu ambavyo wewe unafanya watu wengine wanaona ajabu ni kuachana nayo maana hata mkikasirika unajijazia tu sumu moyoni wakati wanaofanya hivo wana enjoy addiction yao
 
Ni kweli ushoga ni ugonjwa kama magonjwa mengine ya kisaikolojia sisi kama jamii tunapaswa kutafuta namna bora ya kuwasaidia watu walioathirika na hili janga.
Sio mental disorder, waandaji wa DSM V waliikataa na walitumia research. Yaani mpaka sasaivi watu hawajaelewa, mindset inakuwaje twisted. Kwa mwanamke imeonyesha ni rahisi sana kubadilisha hiyo mindset, maana wapo wengi waliobadilika ila kwa wanaume ni mmoja tu na walifanikiwa kwa 80-85% sio full.
 
Ukitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.

Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.

Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.

Mungu atulinde kwa kweli
Mbona fresh tu mimi sioni ubaya wowote mtu kutumia kiungo chake mwenyewe wewe kinakuhusu nini kwasababu huguswi
 
Ndio ushoga ni ugonjwa wa kiroho.
Ushoga ni nguvu chafu za kiroho kutoka external forces kwa lengo la kuitumikisha nafsi yako.
Ushoga unatibika kupitia tiba za kiroho.
Hapa naweza kukubali maana sayansi imeshindwa kuelezea. Kwasababu mwanzoni walidhani labda testosterone ni ndogo ila chakushangaza waliowastudy wakamkuta wanavery normal levels za testosterone na wengine zaidi mfano wale wa gym, maana mazoezi hufanya mwili kuzalisha testosterone zaidi na zaidi. Ila chakushangaza na hawajamaa wa gyms pia wamo.
 
Karudisha vyote lakini Marinda hayajarudi. Labda kama kashonwa kwenye nukta
Wanawake wanafanya hizo mambo Wana mazoezi Yao ya gym anarudi kuwa tight kama vile hajawahi. So hata muathirika wa ushoga anaweza retain the intactness.
 
Hakuna cha ugonjwa ni ukosefu wa maafdili na wanazoweshwa watu wasio na maadili waliokwisha wahi kufanyiwa hivyo.

Muulizeni cocastic
Kwamara ya kwanza naungana na huyu bibi kwacomment hii. Maadili yamevunjika mno.
 
Onyo kwa nyie mnaowapanda mashoga kesho utazaa shoga ktk familia yako kwa sababu umeivuta mwenyewe Ile roho ya ushoga kwa kushiriki ushoga kwa kumpanda mtoto wa mwanaume mwenzako.
So akitokea shoga ndani ya uzao wako usistuke tambua unavuna ulichopanda.
 
Kwamba ni inaweza ikawa ni masuala ya homonal imbalance.

Ila mbona kuna watu wanazaliwa normal kabisa,wababadilika ukubwani?

Unajua nimeandika hapa baada ya kukuta chati za rafiki yangu na shoga huko fb wakipeana location.

Sasa nimewaza sana sababu jamaa ni classmate wangu namfahamu fika,..nimeanza kumkwepa
Mzee chats za mtu FB unazionaje ume hack account au maana huwezi ingia inbox anyway charting ni private ya mtu Kuna chat za mtu ukizipitia unaweza fikiri vibaya kumbe just normal kwasabu ni sehemu private anaweza jitanua.

Nassma hivyo kwasabu hata mimi nishawai chat na shoga akanipa moaka location ukisoma chatting unaweza kunidhani vibaya kumbe sio choko alini inbox mwenyewe baada ya kuona nimeposti picha nanyayua chuma akataka nimpige nikakataa siku nikawa nashida ya hela nikamrudia nikasema atanipa shingapi atume akanifosi mpaka niende kajua nataka kumtaperi na AIM yangu ilikuwa hio atume nisitokee maana nimpige tu hela ila Sasa mtu mwengine akiona hizo chat atasema hee jamaa kumbe anakula mashoga
 
Niliiona baada yeye kulogg in kupitia cm yangu baada ya cm yake kupotea
 
Onyo kwa nyie mnaowapanda mashoga kesho utazaa shoga ktk familia yako kwa sababu umeivuta mwenyewe Ile roho ya ushoga kwa kushiriki ushoga kwa kumpanda mtoto wa mwanaume mwenzako.
So akitokea shoga ndani ya uzao wako usistuke tambua unavuna ulichopanda.
Na ukimfanyia ubaya tajiri kwenye familia yako utazaa mtoto tajiri au inakiwa applicable kwenye mabaya tu
 
Niliiona baada yeye kulogg in kupitia cm yangu baada ya cm yake kupotea
Usimfikilie vibaya Happ mwenye makosa wewe kuingia kwenye private ya mtu kuna vitu vingi kwenye INBOX ambavyo akiangalia asiyehusika atafikiri vibaya ila sio ule usiri unatufanya tuwe huru kuandika chochote
 
Ukisema ushoga ni ugonjwa maana yake tunaweza kuamka kesho asubuhi tukakukuta umekuwa shoga kwa kushikwa na ugonjwa wa ushoga. Hili unaliafiki?

Ukikataa maana yake ushoga sio ugonjwa bali ni tabia chafu ambayo huanza kwa kupenda kujaribujaribu kila kitu hadi vitu vya hatari.

Naona mashoga wamekupa like kwakuwa umewapa chaka la kusingizia. Sasa mimi nawaambieni ushoga sio ugonjwa!
 
Wanawake wanafanya hizo mambo Wana mazoezi Yao ya gym anarudi kuwa tight kama vile hajawahi. So hata muathirika wa ushoga anaweza retain the intactness.
Labda lakini... Ila historia kwamba hiyo YARD abnormal wide loads ziliingia kwa wingi haitofutika
 
Na ukimfanyia ubaya tajiri kwenye familia yako utazaa mtoto tajiri au inakiwa applicable kwenye mabaya tu
Ishu ya utajiri ni complexity factor maana utajiri ni matokeo ya jitihada utajiri unakuja auvutwi.
Huwezi lazimisha kuwa tajiri ingekuwa hivyo Kila mtu angekuwa tajiri, kupambana Sio kupata kupata ni wakat
 
Back
Top Bottom