Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,626
- 40,857
Mtu kuwa na elimu kubwa, inatafsiri wewe ni mtu wa kimataifa; ukishakuwa na hiyo elimu hutakiwi kufikiria mishahara wala posho; we fanya machapisho yenye tija kimataifa, utakuwa unaitwa kwenye presentation huko nje na kupiga hela.
Kusoma huku ukitegemea mshahara au vyeo; unakuwa na elimu ya karatasi lakini kichwani unakuwa hamna kitu.
Unatakiwa u- act kisomi; Dunia ikutambua wewe ni nani; tunategemea siku moja utaitwa pale Harvard au Oxford ukafanye 'presentation'.