Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Hahahahaaa tena yale maputo ya PEPSI
Mi mzima kaka!
Hatuonane kabisa siku hizi au uko kwa wanao Meatu Mr Rocky ?

We umeadimika sana aise nikikuita club mpya wasema mara uko sijui wapi mara uko kwa nani sijui maana wewe inaonekana nyumba ndogo zimezidi aise
Niko mjini bana erick52
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mimi nakupenda tena unajua kabisa kuwa nakupenda
my God my Farther, dah kupendwa raha jamani dah
Nakupenda Mr Rocky

mpe Sefet za uso na akome akomae.

Bishanga shikamoo Mamndenyi huyo anayejiita Sefet sijui nani katoka wapi huyu naona kaingia kwa kasi kama kimbunga cha kule Pemba
Mwambie tunapendana sana sana na hakuna wa kututenganisha na maneno yake ni kama mwangwi tuu hauna nguvu yoyote
I love you so much Mamndenyi
copy kwa Bishanga, Arushaone, Erickb52, Vin Diesel na Mungi na Filipo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom