Sefet
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 476
- 192
Vin Diesel joka la kibisa!
teh teh teh...
Last edited by a moderator:
Vin Diesel joka la kibisa!
Refresh my memory basi
Huyo ni fotokopi ya bishanga,original niko new york sa izi nafanya commerce......check my twitter account
Naona umekereka mkuu,kunani?
siwezi katerereo Bishanga mie"Kuzaliwa na baba maskini hiyo ni kudra ya Mwenyezi Mungu,
Kuwa na baba mkwe lofa ni kujitakia"
Ushauri huu nina u dedicate kwa Smile na @lara1
amu Arabela charminglady Zion Daughter na Nivea angalieni kwa makini uwezekano wa kuolewa na wanae bishanga abashaija,who knows siku ya harusi unaweza unyanyuke na funguo za mercedaa na hati ya kiwanja mbezi beach!
Ps: ninayo midume ya kutosha nyumbani kwangu,anayebisha awaulize Mamndenyi na gfsonwin.
siwezi katerereo Bishanga mie
Kwa hiyo wanangu walie tu?
Akupe mkopo nani...!?? Bishanga huyu huyu tunayemdai mil.10 hapa FINCA..!?? you can't be serious wewe...
Hana uwezo wa kunizaa huyu babu angejidai sana ningekua toto lake' niulizie kama ana kabinti kadogo kadogo kama miaka 17 au 18