USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Mzee Mwanakijiji,
Hiyo itakuwa kinyume na 'people's power' au ni kinyume na demokrasia, pia ni kinyume na jina la chama 'Chama cha Demokrasia na Maendeleo'. Wananchi ndio wameamua na uamuzi huo hueshimiwe, la sivyo 2015 tutawahadhibu Chadema!!
 
ushauri wangu kwa Dr.Slaa, akiona mambo hayaendi vizuri asibweteke, kuna 2015. Kama alivyofanya mkwere 1995 akubali kiushikaji lakini atoe kombora then akirudi 2015, wimbo ni mmoja tumekuja kukamilisha kura zilizopungua last time. Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote lakini tu basi

Sawa kabisa. Kwa kasi hiyo hiyo aliyofanyia kampeni, arudi vijijini kuijenga Chadema, ili Chadema iwe na nguvu kila kona ya Tanzania. Zoezi liendelee bila kusita hadi 2015.

Vinginevyo yatakuwa ya akina Mrema na NCCR enzi hizo.
 
Wapendwa hakuna kulala mpaka kieleweke. Hakuna kuridhika. Jamaa matumbo moto kwani hawaamini yanayotokea. Peoples...........
 
chadema kazi mnayo. Mkishinda fujo, mkishindwa fujo.

Angalia kauli zako. Tukishinda tunakuwa tumetangazwa baada ya kuwa tumetoa shiniko. Usisababishe tufungiwe kwa kukutukana. Tumia ubongo na si makamasi.
 
Naomba anayeelewa anisaidie kuhusu idadi ya wabunge wa viti maalum kwa vyama inapatikana vipi?
 
Sioni Dr. SLaa kushinda Uraisi na matokeo ya majimbo ya SIHA na BABATI MJINI ni usahidi Dr. Slaa hatashinda Uraisi....
 
Mnajua wakuu maeneo yoote amabayo CHADEMA imetangazwa kushinda as of late ni nguvu ya umma imeshinikiza matokeo kutoka kwa hiyo kwa hoja ya mkjj ilitakiwa huko ndani amabako mbunge anakuwa anafight kuhakikisha no stone remained unturned kulinda kura zake afanye hivyo hivyo, ofcourse na madiwani wake kumake sure wanalinda na kura za raisi wao. Matokeo yakitangazwa yatangazwe yoote.

Kwa hili lazima tukubali tuko kama miaka 10 nyuma ya Zanzibar.
 
Mzee Mwanakijiji,
Chief, wewe si ndio uliandika makala ndefu kusema kwamba uchaguzi hauwezi kuchakachuliwa? Sasa mbona unataka ku-excite watu kwa ku-insuniate wizi wa kura?

Look at the trends babu. As the matter of fact--71% for JK is highly likely.

As far as viti vya ubunge, Mrema brought 30+ MPs in 1995. And Mkapa won at 65%. You are now officially incumbents in all those seats. People are counting on Godbless Lema, and Sugu. We will see.
 
Chief, wewe si ndio uliandika makala ndefu kusema kwamba uchaguzi hauwezi kuchakachuliwa? Sasa mbona unataka ku-excite watu kwa ku-insuniate wizi wa kura?

Look at the trends babu. As the matter of fact--71% for JK is highly likely.

As far as viti vya ubunge, Mrema brought 30+ MPs in 1995. And Mkapa won at 65%. You are now officially incumbents in all those seats. People are counting on Godbless Lema, and Sugu. We will see.

sijawahi kuandika makala yenye kusema hivyo.
 
Ila kwa NEC najua watajumlisha matokeo namna hii

CCM 1+1=2
CHADEMA 1x1=1

Hao ndio NEC lolz!!!!!!
 
.........As the matter of fact--71% for JK is highly likely.
.

Washirikina na wasomi wasioelimika husema kishabiki "71% .... is likely."Wasoomi walioelimika husema "70+%.... is likely."
 
Why are u being so trivial?

I have not been trivial. It is easy to see your bias even without reading between lines. One can clearly see your illiteracy and ignorance just by looking at how you present yourself. You better learn these simple facts which actually do not necessitate you to go to school.
 
Tunakomaa nao mpaka mwisho kieleweke...this time hakuna ushindi wa kishindo wa 80%!!!
 
Back
Top Bottom