Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Jamani CCM wameshindwa vibaya sana hivi wanamatumaini ya kuiba kura ili waendelee ku-cling into power. Hapo hatutakuwa tunawatendea haki wale waliopiga kura ambao waliamini kabisa kwamba watakaloamua na liwe hiyo ndio democracy sasa Chadeama siyo kazi yao ku-negotiate wao ni kutekeleza yale ambayo wametumwa na walipa kodi please don't try to joke voters. Kazi ya Chadema ni kuhakikisha matakwa ya wapiga kura yanatimizwa tena pasipo ucheleweshaji.
Hebu fikiria CCM wangekuwa kwenye hali waliyonayo Chadema wangewaalika kunywa chai?
Hebu fikiria CCM wangekuwa kwenye hali waliyonayo Chadema wangewaalika kunywa chai?