USHAURI: Simuelewi mume wangu

USHAURI: Simuelewi mume wangu

Mkuu Glenn kataja hapo juu, kwa kuongezea:

1. Unatabia ya kukaa naked sana mkiwa ndani wawili tu. Yaani unakua na chupi tu? Jitahidi uwe unavaa muda wote nguo mfano Tshirt kubwa, unaacha mapaja tu, khanga flani, dera, etc ila usishindie kyupi tu, anakinai.

2. Anzisha kitu taratibu. Mfano unamfanyia massage, unamnyoa nywele za kwenye sirini, unamkata kucha, unamuosha miguu, etc ivyo vitu vidogo vinaamsha hamasa.

3. Usisubiri mwende kitandani ndio umuanze. Na usisubiri ifike saa 4 usiku kila siku ndio muanze. Kua creative, unamwambia ukamuogeshe, amekaa kwenye kochi unaenda kulala kwenye mapaja yake, etc.

4. Mwangalie usoni. Aisee tunapenda sana kuangaliwa usoni sio mchezo.

Ngoja niishie hapo. Mstari wa chini ni nje ya Mada.





Vijana tusioe, tusubiri hali itulie.
Hapana haya hayawezi mzuia mwanaume asiwe na genye. Hapo kuna mchepuko.
 
We unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
Mimi sio nabii ila kuna jibu hapa.
1. Ana mchepuko
2: au kagundua ameambukizwa anaogopa kukuambukiza.
3: au kaanza michezo michafu hisia zimeamia huko? Maana wanaume wamebaki wachache ndo maana unasikia kesi za kulawiti zimekuwa nyingi.
4: hii kitu imeanza lini?

Umeeleza vizuri upande wako unatimiza majukumu shida iko wapi? Mmmh chunguza
 
Jitahidi uwe mtundu, kama una umbo la kuvutia itakuwa powa zaidi. Muogeshe, muongeleshe maneno mazuri mazuri kama natak leo unit..mb mpaka nikimbie nyumba; mnyonye n.k atakupelekea moto tu
 
Ushauri wangu Ni AROGWE....Uswahili I tunasema ashughulikiwe kwa mtaalamu...
 
Hata kama anajua makosa yake. Mtu kusema ananisaidia maana yake aliniona nina shida sana kunioa ni kama amenipa msaada.
Halafu asilale na mimi kila mtu room yake loh.
Bado sijafanywa hivyo hata kama nina makosa.
Either unisamehe au ijulikane hujanisamehe.
Maisha ya hivyo yanipitie mbali.
Nimempa mda... Tukapime.... Simsaidiii AMINI ...kwao mke wangu wako well-off kuliko Mimi na familia yangu.. ni yeye na akili zake... mpaka walimkataa wakamuacha tu... Nikamkuta... Tukarudiana ... Nikamtafutia kazi ..nikamsomesha ..... (Kuna Uzi HUMU).... Alipoanza na yeye kuwa Afisa ndio akaanza dharau... Nkamwambia tu... Unajua nilipokutoa ... Na umaskini wetu kwetu na kwao walimkataa kabisaaaa akawa tu dada wa mtaani.... Unanifanyia hivi... Nikamuachia na nyumba na hati na Kila kitu nikaenda kupanga...... Vikao nilivyoitwa kanisani, Koo , familia ni vingi mnoooo.... Amini Nakwambia. ANAJUA MAKOSA YAKE. Kwa nilivyomkuta Baada ya kuachana shuleni na maisha niliyomjengea na tumefunga ndoa ... Kwani hao WALIOKUWA wanampa kiburi anao!!?? ....
 
Hhahahaha eti mikeka inavyochanika...
Unajua nini
Kila kitu kwa kiasi...yaani hata kunywa maji kuna kiasi..
Huyo kama amevuka steji ya kawaida kapiliza kiasi...atakua ana msongo wa mawazo.
Anaweka mikeka kadhaa kwa siku yote inachanika
HAISIMAMI KWELI
Sasa Kwan ni lazma kubet si aache yani mimi nachukia jamani basi tu
 
Kuna vitu vidogo vya kurekebisha mm nami nilishapitia.

Ipo hivi Mwanamke anapokaa muda bila kufanya tendo siku ya kufanya hupania na kaamrisha Mume wafanye kwa mda mrefu ,siyo sawa kwani Mwanaume hachelewi kumwaga kama hafanyi mara kwa mara kwa Amri hizo mwanaume hukosa hisia kabisa .

Usimwambie maneno makali ya kumkatisha tamaa hisia hupotea kabisa na kuona tendo ni adhabu kali hivyo kumpoteza kabisa

Mimi niliambia kama huwezi mpaka nifike kilele tusifanye ,Hii kauli ilinimaliza kabisa nikajibu kwa kauli nzito tafuta mwanaume .mwisho akashuka tukajadili kwa sasa napewa mpaka zawadi

Akifanya ata kidogo msifie,mtie moyo akisema nimechoka mwambie pumzika Mume wangu tutafanya tena asubuhi na kweli asubuhi jitahidi baada ya muda ata jiamini utakuwa unafaidi na kila siku ya tendo utafika kileleni naamini ugonjwa wako uko hapa pia wanawake wengi huwaondoa hisia kwa kauli na Amri.

Kama kuna Vitu havipendi acha usivifanye na kabla ya mechi usifanye jambo lolote la kumkera pia ata katikati ya mechi,kama ni marekebisho mwamwie kwa upole baada ya mechi tena baada ya kushukuru.
Mf: Unajua Mme wangu tulipokuwa ktkt ya mechi nilikaribia ila ulinipoyeza kwa kufanya jambo flani ,keshi baby fanya hivi na hivi sichelewi

N:B usitafute mpango wa kando,Pm yako watakuja pia .
zingatia haya utakuja kunishukuru baadaye.
sorry mm siyo mwandishi mzuri .
 
Atahukumumiwa tofauti na hapo kama ana shida anasema kama anaumwa anasema sasa kuacha kumfanya mke ndio manini sasa
Yani anakera basi tu hapa sahivi amelala ananikoromea tu napata hasira natamani hata nimpige ukichanganya na hizi nyege basi kila nikimuona natamani hata nimdumbukize kwenye Jana nimfunikie uko
 
Dah.. Nakumbana na tatizo kama lako.. Yaani mimi mke wangu hapendi kabisa kushiriki tendo la ndoa.. Inaweza kupita hata miezi miwili..
 
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Tatizo Hapo ni Kubeti akibeti Ana win mikeka yake?? Kubeti Kunasadikika Kupunguza Nguvu za Kiume na Ni addiction mpya.
 
Yani anakera basi tu hapa sahivi amelala ananikoromea tu napata hasira natamani hata nimpige ukichanganya na hizi nyege basi kila nikimuona natamani hata nimdumbukize kwenye Jana nimfunikie uko
Muanshe kwa upole zungumza nae mama
 
Back
Top Bottom