USHAURI: Simuelewi mume wangu

USHAURI: Simuelewi mume wangu

1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.

2. Biashara zimemnyookea?

3. Yuko busy na simu?

4. Anachelewa kurudi?

5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Ikiwa mnalumbana hili ni tatizo, mwanaume hapendi kabisa kutosikilizwa au kujibiwa vibaya na mwanamke.
Endapo utayafanya hayo atakosa hamu na wewe kabisa
Hapa ndipo kiini Cha tatizo kipo, jibu moja kati ya haya ushauriwe
 
Na kweli msioe subirini Hali itulie, nahisi no. 1 hapo Kama ni kweli basi inaweza ikawa ni sababu coz nimemzoea sana na mimi huwa sipendi kuvaa nguo Mara nyingi huwa napenda kuvaa kanga moko na tukibaki peke yetu kanga nikiona inanikera huwa nayo natupa uko nabaki hivyo hvyo cna kitu hata chupi hivyo inawezekana labda kakinai kweli, na swala la kumkalia kwenye mapaja huwa namkalia nikiwa hivyo tunapiga story Ila hata hashtuki sijui sasa anakwama wapi huyu mwanaume jamani
Hata kama umeolewa usimfanye mwanaume auzoee mwili wako sana. Asiwe anauona hovyo kila akijisikia. Fanya kama bikra uwe na zile haya za kishamba hadi aonyeshe tamaa ya kukutaka ndio na wewe umuonyeshe dhamira ya kuruka nae.

Ila ukiwa mtu wa kuonyesha mwili wako hovyo hovyo anauzoea msisimko unakata.

Nakushauri umpe muda kidogo ikibidi nenda kwenu hata mwezi hivi halafu ukirudi jaribu kuwa msafi sana na ukirudi usiwe mtu wa kujiachia sana unaficha ficha mwili ukiona ameanza kupata stimu jua basi shida ni ulikuwa unajiachia sana.
 
Je mumeo kiuchumi na kimaisha yupo vizuri hana stress?
Haya maswali naona mleta uzi anayakwepa sana sijui anajaribu kuficha nini?!

Tunataka kujua aina ya kazi jamaa anafanya, jamaa ana umri gani na mwanamke ana umri gani, wanamuda gani katika mahusiano, watoto wangapi, mwanamke ana kazi gani, wanaishi nyumba ya kupanga au ya kwao, mwanaume hajawahi kumfumania mwanamke kipindi cha nyuma, je mahusiano yao na ndugu wa pande zote yapoje.
 
Hiyo tabia ya mumeo niko nayo mimi A to Z,
Tatizo ni wewe na makwazo yako(bila shaka mumeo ni mkimya) ila wewe una mdomo sana lakini pia una choyo na mbinafsi yaani humsaiidii kwenye Mambo ya familia yenu( kipato chako ni chako tu ila chake unakitolea macho) yaani hushiriki kwenye ujenzi wa maendeleo ya familia yenu ni kama kila kitu umemuachia yeye kwakuwa ni kichwa cha familia.

Hayo ni kati ya yale machache ila kwa uzoefu tatizo ni wewe,kiufupi hujawa msaidizi wake(mke) bali upo kama hawala uliyevishwa pete ndani ya nyumba.....usipobadirika yatabaki mazoea tu kwa msaada wa hao watoto ila ndoa inaelekea ukingoni.
Ukimya wa mwanaume ni jambo ambalo wanawake huwa wanalioverlook sana. Ila lina impact sana katika mahusiano yao na namna wanafanya ndoa zao.
 
1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.

2. Biashara zimemnyookea?

3. Yuko busy na simu?

4. Anachelewa kurudi?

5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Ikiwa mnalumbana hili ni tatizo, mwanaume hapendi kabisa kutosikilizwa au kujibiwa vibaya na mwanamke.
Endapo utayafanya hayo atakosa hamu na wewe kabisa
Kuna ka ukweli hapa
 
Hata kama umeolewa usimfanye mwanaume auzoee mwili wako sana. Asiwe anauona hovyo kila akijisikia. Fanya kama bikra uwe na zile haya za kishamba hadi aonyeshe tamaa ya kukutaka ndio na wewe umuonyeshe dhamira ya kuruka nae.

Ila ukiwa mtu wa kuonyesha mwili wako hovyo hovyo anauzoea msisimko unakata.

Nakushauri umpe muda kidogo ikibidi nenda kwenu hata mwezi hivi halafu ukirudi jaribu kuwa msafi sana na ukirudi usiwe mtu wa kujiachia sana unaficha ficha mwili ukiona ameanza kupata stimu jua basi shida ni ulikuwa unajiachia sana.
Kwa kweli mnatuchanganya sana sie ambao bado hatuja ingia huko kwenye ndoa

Hiyo Viagra haina madhara nisije nikamuua bby bure nikajuta
Usifanye hilo kosa hata siku moja. Watu wanatafsiri hiyo dawa kama ni ya kuongeza hamu, ila viagra haiongezi wala kukupa hamu ya kufanya mapenzi. Pia viagra ni dawa ambayo hushushwa pressure ya moyo, ukiitumia kwa kiasi kisichofaa huweza kushusha presha mithili ya kufikia hatua ya kumuua mtu. Na mwishowe hiyo dawa inaleta addiction, ataweza kubaki kuitegemea hiyo dawa tu ili aweze kusimamisha. Narudia tena usifanye hivyo.
 
Kiufupi hakuna unapokosea... Ni eidha anagonga sana nje au stress kubwa ya maisha. Ila hilo la kwanza ni asilimia 80
 
badilika mama usiobadilika kuna mwenzio anakusudia majukumu uliyoyashindwa kuyatimiza
 
Kiufupi Kabla ya kulala 1
piga mswaki
2.jitibu UTI
3 Vaa vizuri na unukie4 chamba kabla ya kulala
 
Back
Top Bottom