Hakuwa hivi na Kama angekuwa hivi nisingekubali anioe ningemkimbia mapema sana nisingetaka kujiingiza kwenye mateso
Nashauri ujiangalie wapi labda umekosa, au kumkwaza, au labda una mazingira gani yanayompa huo ugumu.
Ila Kuna wanaume wengine ni wa shenzy tu, mke hana kosa ila wanakuwa wakorofi tu kabisa bila sababu.
Jaribu pia afya, pengine Ana. Stds na anajua, na hataki muendelee kuambukizana na pia hataki kuliweka wazi.
These are possible reasons:
1. Mazingira yako na Tabia vinamkwaza sana mpaka a nakosa hamu na wewe.
2. Anapitia kipindi kigumu sana kifedha mpaka a nakosa Amani na ujasiri wa kujiamini.
3. Ni muhuni wa kutupa, maana hata kama Ana wanawake nje anapaswa pia kukuheshimu na kukupa Haki yako.
5. Anaumwa au Ana upungufu ambao wamfanya ajionee hana thaman au Ana under perform kwake, ila akitoka huko nje wanawake wanamsifia.
Hilo jambo sio LA kupuuza hata kidogo, tafuta namna mzungumze, ndoa haina maana kabisa kama hupati haki yako, na yeye uitaji wake nani anamtimizia.
Hii Dunia haipo fair, wakati sisi wengine tu nataka mzigo hata kila siku kutoka kwa wife, mwingine anaombwa na hafanyi, dah hatari hii.