USHAURI: Simuelewi mume wangu

USHAURI: Simuelewi mume wangu

Sasa narudi kwa ushauri.
Daima Binadamu anayeitwa mwanaume anachoshwa na aina moja ya jambo.
Mwanaume daima anapenda jambo jipya ama asililokuwa nalo.

Umebadili mpango wa chumba n vzr. Token nenden hoteli weekend, tena utangulie wewe au yeye.
 
Points tupu
1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.

2. Biashara zimemnyookea?

3. Yuko busy na simu?

4. Anachelewa kurudi?

5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
 
Kusema ukweli uchi ukishakua nao ndani unakinaisha bhn ktk jambo ambalo wife ukimkatalia hatakuelewa ni kumyima haki yake ya msingi yaan kama nimelal ataniamsha atanigeuza ajitomb***she mpk atosheka ktk jamb ambalo hatak kulisikia ni kumwambia cjui nimechok hatak kbs kuelewa yeya anatak apo kwa apo 😂
 
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Kumbe na kubet ana bet tatizo lipo hapo hapo kwenye kubet, mikeka inavyochanika lazima awe na stress
 
Hhahahaha eti mikeka inavyochanika...
Unajua nini
Kila kitu kwa kiasi...yaani hata kunywa maji kuna kiasi..
Huyo kama amevuka steji ya kawaida kapiliza kiasi...atakua ana msongo wa mawazo.
Anaweka mikeka kadhaa kwa siku yote inachanika
HAISIMAMI KWELI
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.

mmmmh!!!hapo tatizo kuu ni punyeto nyingi sana kwake alipokuwa kati umri wake mdogo na hajaacha anaendeleza hiyo kitu.Jaribu kumchunguza utakuja kunipa jibu kama mchepuko kwa nin anawahi kurudi nyumbani au ni mchelewaji ???
 
Mashine inasimama vizuri tu haina shida alafu ulivyoongelea mashine mpaka mwili umesisimka na nyege ndo kwanza zimeongezeka Mungu wangu niepushe na hiki kikombe
Huyo jamaa anakutesa asee, nafikiri imefika muda utafute kidume cha kukupelekea moto
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.

Yupo hivi toka muanze mahusiano au kabadilika?
 
Mkuu apo chini umenifanya nicheke kwa nguvu 🤣🤣🤣🤣
Mkuu Glenn kataja hapo juu, kwa kuongezea:

1. Unatabia ya kukaa naked sana mkiwa ndani wawili tu. Yaani unakua na chupi tu? Jitahidi uwe unavaa muda wote nguo mfano Tshirt kubwa, unaacha mapaja tu, khanga flani, dera, etc ila usishindie kyupi tu, anakinai.

2. Anzisha kitu taratibu. Mfano unamfanyia massage, unamnyoa nywele za kwenye sirini, unamkata kucha, unamuosha miguu, etc ivyo vitu vidogo vinaamsha hamasa.

3. Usisubiri mwende kitandani ndio umuanze. Na usisubiri ifike saa 4 usiku kila siku ndio muanze. Kua creative, unamwambia ukamuogeshe, amekaa kwenye kochi unaenda kulala kwenye mapaja yake, etc.

4. Mwangalie usoni. Aisee tunapenda sana kuangaliwa usoni sio mchezo.

Ngoja niishie hapo. Mstari wa chini ni nje ya Mada.

Vijana tusioe, tusubiri hali itulie.
 
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Tatizo
Nidogo
Usipokuwa
Makini.utaharibu.ndoa.yako
 
Back
Top Bottom