USHAURI: Simuelewi mume wangu

USHAURI: Simuelewi mume wangu

Hiyo tabia ya mumeo niko nayo mimi A to Z,
Tatizo ni wewe na makwazo yako(bila shaka mumeo ni mkimya) ila wewe una mdomo sana lakini pia una choyo na mbinafsi yaani humsaiidii kwenye Mambo ya familia yenu( kipato chako ni chako tu ila chake unakitolea macho) yaani hushiriki kwenye ujenzi wa maendeleo ya familia yenu ni kama kila kitu umemuachia yeye kwakuwa ni kichwa cha familia.

Hayo ni kati ya yale machache ila kwa uzoefu tatizo ni wewe,kiufupi hujawa msaidizi wake(mke) bali upo kama hawala uliyevishwa pete ndani ya nyumba.....usipobadirika yatabaki mazoea tu kwa msaada wa hao watoto ila ndoa inaelekea ukingoni.
Acheni kupenda vihela vya wanawake
 
1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezoea kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.

2. Biashara zimemnyookea?

3. Yuko busy na simu?

4. Anachelewa kurudi?

5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Ni kweli. Tuanzie hapa. Ufungua wa hili jambo uko hapa.
 
Mashine inasimama vizuri tu haina shida alafu ulivyoongelea mashine mpaka mwili umesisimka na nyege ndo kwanza zimeongezeka Mungu wangu niepushe na hiki kikombe
Soon utaliwa na wapita njia wewe
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.

Kwa nini huanzi na jambo la urahisi nalo ni kumuweka chini na kumuuliza ni nini cha mno? Kwa nini hapendi chakula ya usiku? Anza hapo kabla ya kuanza kutafuta ushauri kwa watu wengine au kulalamika kwa wazee.
 
Kwani kwao alishindwa kufanya hizo kazi

Unajua mtu alie free ni tofauti na yule asie free, simaanishi kumuweka buzy ili kufanya wasiwe wanasex, namanisha kumkeep buzy kunamsaidia ubongo wake kutowaza sana sex, ila upande wa kufanya tendo ni muhimu, jamaa inabidi ajitahidi kumkaza mkewe maana nyie viumbe bila ivo hua mnakua na maamuzi yahajabu.
 
Anayajua makosa yake.... Ukiwa mkosaji na ukarudu kwenu na wakakuopokea wewe na familia yako wote mnauwa wa hovyo. Narudia ANAJUA MAKOSA YAKE.
Hata kama anajua makosa yake. Mtu kusema ananisaidia maana yake aliniona nina shida sana kunioa ni kama amenipa msaada.
Halafu asilale na mimi kila mtu room yake loh.
Bado sijafanywa hivyo hata kama nina makosa.
Either unisamehe au ijulikane hujanisamehe.
Maisha ya hivyo yanipitie mbali.
 
Tatizo inakera sana yani Kama hapa nimezidiwa alafu mwenzangu ndo kwanza anakoroma napata hasira mpaka linanijia wazo nimuangushie hata kabati
Hivi uko serious kwamba wewe una hamu hizo?..naonaga wake wengi hamu zinakata mapema..ww uko juu...
Bdw Hongera🤣🙌
 
Kitu kizuri mwanamke aombe au aililie. Daima wanaume tumekuwa watu wa kuomba Kila mara. Mimi ningekupa wewe Hadi Raha.
Kweli kwako kukifuka moshi kwa jirani kunaungua.
 
Back
Top Bottom