USHAURI: Simuelewi mume wangu

Yani acha tu ndugu yangu tembea uyaone yani kwajinsi ninavyojiweka ingekuwa ni mwanaume mwingne kwajinsi ninavyowajua ingekuwa kila dk anataka mzigo hata kazini nahisi angekuwa anachelewa
Aisee kama nakuona vile umevaaa zile chupi zenye kamba inapita pale katikati ya mabonde mawili
 
Mmmh wewe ni mtata kwa kauli hizi utachapiwa tu.
Huenda amekukinai
We unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
 
Aisee kweli kwenye miti hamna wajenzi. Mke anataka kuoelekewa moto mume anakataa mbususu😲😲😲
Hakuna mwanaume wa hivyo ....huyo mwanamke ajiangalie tu mienendo yake dhidi ya Mumewe.... Mi niliondoka kabisaaaa na kumuachia Mji mke.... Nkaenda kupanga. Hakuna kitu kinashusha hamu kama dharau, maneno machafu ,dhihaka na wakati mtu unamsaidia Kila kitu na anaanza kukulinganisha na wanaume wengine. Anaweza jua hafanyi lakini aangalie mienendo yake yeye kwanza. Ana Ndimi nzuri Kwa Mumewe!?? Matendo.... !!??.Hakuna mwanaume atakuwa na nyuchi ndani na asiichakate ila ukimletea hizo mambo hata mwaka mtamaliza. Nimerudi lakini silali nae tena Kwa ajili ya watoto lakini amepata Somo kabaridika sana.
 
We unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
Hebu njoo nikushauri vizuri hutajuta
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Ndio mana unahasira sana mchana
 
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
shida ipo hapo kwenye kubeti.

mwamba anakuwa anawaza mkeka utatiki ama hapana na kama ukichanika ndo kabisaaa

upande wangu, kuna siku nimebet nasubiri timu 1 ushinde nile 700k hahahaha ikazingua, nilikuwa na demu mpya aseeh mtarimbo ulilala dorooooo na sikumchapa nao

kubeti ndo mchawi wako
 
Duh! Sasa unanishauri nifanyaje?
Labda kuna namna uliwahi kum-disrespect na ikapelekea kupunguza feelings.. au pengine kuna ugonjwa umemfanya asiwe na hamu.

Ushauri wangu ni utafute muda mzuri uongee naye ili ujue chanzo na hatimaye mtafute namna ya kutatua tatizo. All the best.
 
We unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
Fanya mpango ukate kiu mamy
 
Back
Top Bottom