USHAURI: Simuelewi mume wangu

USHAURI: Simuelewi mume wangu

Wewe ni mke wake na si hawara, tengeneza mazingira ya kuzungumza nae kirafiki psychalogical friendily talk. Majibu na suluhisho vyote vipo ndani yenu.
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.

1. Hali yake ya uchumi.
2. Kazini kwake kila kitu kiko sawa?
3. Uliwahi kumkosea? Au kuna tabia amekuambia haipendi kwako?
4. Je matumizi yake ya simu ikoje? Kabadilika au kawaida?
5. Anarudi nyumbani muda gani? Je anachelewa? Kuna wakati analala nje kwa kisingizio cha safari?

Haya ni baadhi ya maswali yanayoweza kusaidia kupata angalau mzizi wa tatizo.
 
Michepuko washakuzidi kete kwa mumeo,
Hisia na wewe zishakata, Rudisha mahaba
Screenshot_20221013-012817.jpg
 
Ana umri gani? kazi zake ni za kutumia nguvu?
 
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Hamna kulogwa hapo....mikeka tu inamchanganya...addiction ya betting ni mbaya zaid ya kufuta sigara..unaweza kuta asilimia 70 ya ubongo kaiamishia kweny betting..hapo kwel kutakuwa na kunyanduana?mfano chukula jana man city alivyofanya mambo ya kalylinda kwa kuwachania wengi...lazma tu nguvu zikate
 
Habari za majukumu?

Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.

Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.

Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.

Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!

NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.

Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.

Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Dawa ni kuchepuka tu hakuna namna
 
Mosi, hamjui mnachotak na namna kupata
Pili , Usitake yote kwa pamoja
Tatu, mke hatakiw kulala uchi , hakikish anapat chakula kwa wakat na mapumzko ya kutosha
 
Kupitia nyuzi zako, inaonesha umejifungua jun tena kwa operation.. obviously hujarecover vizuri lakin unawaza ngono tu
 
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Mnapokuwa kwenye tendo inamchukua muda gani kupata bao? isijekuwa inamchukua muda mrefu sana.Kama anachukua muda mrefu jua tatizo liko kwako.
 
Yaap ...unaenda kusoma ule uzi wa soko la hisa Dar es salaam (DSE) lilivoshuka, unakuta wachangiaji ni watatu

Hii ndio TZ
Kila sehemu kuna washabiki wake uwalaumu wa hukohuko, yaani wewe uende taifa ukute uwanja umejaa lkn uende jimkana ukute mashabiki kiduchu halafu uanze kuwalaumu walioenda taifa.
 
Amina, kila nikijaribu kuongea nae anaishia kunambia tatizo anachoka sana hili ndo jibu lake kila nikimuuliza hana jibu lingine
Hata achoke vp mbususu haijawahi kosa soko, ile ni sawa na mtu anayefanya kazi ngumu na za kuhitaji nguvu bila kustua na kvant usiku hawezi kupata usingizi na kesho yake kazi haziendi.
 
Huyo dawa yake ndogo.
Mtegeshee Viagra kwenye chakula.
Kuna royal honey,black cobra,G7 chocolate na kadhalika.
Kila siku unamchanganyia alafu tulia.
 
Back
Top Bottom