Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,275
Mkuu why unakuwa mnyonge kiasi hiki?Manamake ni yaleyale tu.... Kama yanavyotuita mbwa wao ni wachafu zaidi.. wanaume hawasemagi tu.
Mkuu why unakuwa mnyonge kiasi hiki?Manamake ni yaleyale tu.... Kama yanavyotuita mbwa wao ni wachafu zaidi.. wanaume hawasemagi tu.
Kama anabet ni ishara kuwa maisha hayamuendei sawa. Na wala hana mchepuko huyoKwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Tafuta vitu vya kuku keep busy.....Sasa Kwan ni lazma kubet si aache yani mimi nachukia jamani basi tu
Mnapendelea style gani? Chuma mboga, kifo cha mende au?Sasa Kwan ni lazma kubet si aache yani mimi nachukia jamani basi tu
Unataka kuvunja ndoa etiTafuta vitu vya kuku keep busy.....
Ataanza yeye kukutafuta.
Usimfikirie mtu 24/7
Itakuumiza.
Wanaume hawana shukrani.
Kwani hata ukikaa mwaka kitaoza?
Tafuta vitu vya kukukeep busy
Develop new hobbies.
Kama hauna kazi/biashara tafuta gym near by kani subscribe huko kifurushi cha mwezi ...
Au anza kukimbia asubuh.
Tafuta movies...
Yaani jipe shuhuli...
Hivi mtu anayebet ni vile maisha hayamuendei sawa? Basi ngoja niacheKama anabet ni ishara kuwa maisha hayamuendei sawa. Na wala hana mchepuko huyo

na siachi ng'o!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kweli hali itulieMkuu Glenn kataja hapo juu, kwa kuongezea:
1. Unatabia ya kukaa naked sana mkiwa ndani wawili tu. Yaani unakua na chupi tu? Jitahidi uwe unavaa muda wote nguo mfano Tshirt kubwa, unaacha mapaja tu, khanga flani, dera, etc ila usishindie kyupi tu, anakinai.
2. Anzisha kitu taratibu. Mfano unamfanyia massage, unamnyoa nywele za kwenye sirini, unamkata kucha, unamuosha miguu, etc ivyo vitu vidogo vinaamsha hamasa.
3. Usisubiri mwende kitandani ndio umuanze. Na usisubiri ifike saa 4 usiku kila siku ndio muanze. Kua creative, unamwambia ukamuogeshe, amekaa kwenye kochi unaenda kulala kwenye mapaja yake, etc.
4. Mwangalie usoni. Aisee tunapenda sana kuangaliwa usoni sio mchezo.
Ngoja niishie hapo. Mstari wa chini ni nje ya Mada.
Vijana tusioe, tusubiri hali itulie.
Kubet ni indicator kuwa unachopata hakitishelezi hivyo unahitaji kubahatisha sehemu zingine. Na kama unabahatisha ina maana maisha hayaendi sawaHivi mtu anayebet ni vile maisha hayamuendei sawa? Basi ngoja niachena siachi ng'o!
Inaonyesha una mengi mkuu. Pole bana!Nimempa mda... Tukapime.... Simsaidiii AMINI ...kwao mke wangu wako well-off kuliko Mimi na familia yangu.. ni yeye na akili zake... mpaka walimkataa wakamuacha tu... Nikamkuta... Tukarudiana ... Nikamtafutia kazi ..nikamsomesha ..... (Kuna Uzi HUMU).... Alipoanza na yeye kuwa Afisa ndio akaanza dharau... Nkamwambia tu... Unajua nilipokutoa ... Na umaskini wetu kwetu na kwao walimkataa kabisaaaa akawa tu dada wa mtaani.... Unanifanyia hivi... Nikamuachia na nyumba na hati na Kila kitu nikaenda kupanga...... Vikao nilivyoitwa kanisani, Koo , familia ni vingi mnoooo.... Amini Nakwambia. ANAJUA MAKOSA YAKE. Kwa nilivyomkuta Baada ya kuachana shuleni na maisha niliyomjengea na tumefunga ndoa ... Kwani hao WALIOKUWA wanampa kiburi anao!!?? ....
Approach ya kisaikolojia ni kama ipi?????Mtahubiri sana tu...
Jamaa keshamzoea sana anamuona wa kawaida tu hana jipya!
Itahitaji approach ya kisaikolojia ili kumrudisha kwenye mstari!
Mh kazi kweli kweli!![]()
Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni. Cha...www.jamiiforums.com
![]()
Ndoa inaelekea kunishinda
Ushauri wenu jamani, Mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba...www.jamiiforums.com
Asante mkuu ubarikiweNyongeza ktk Comment yangu
Ongea naye pia afanye mazoezi ikiwezekana mfanye wote wewe unakuwa kama una msaport asione kama umempa Adhabu.
pia kama ukizungumea naye kwa upole na kimahaba mweleze kuna msaada wa Juis kama dawa .
Limao 3+ vitunguu maji 2 vikubwa au v3 vya wastani ukiweza usiweke maji au ukiweka ni kidogo sana atumie kwa siku 7 bila kuruka Asubuhi na jioni .
Hii husaidia Mzunguko wa damu uwe viziri kwani Uume hutegemea Damu kusimama .
Usidanganyike Mumeo hachepuki wanao chepuka home wanapiga shoo za maana kwani wanakuja kutafuta bao la 3 au la 4 kwako ambalo ni gumu mnoo kutoka na ukichukulia ameshapata mda/ gepu tangu atoke kwa mchepuko anakuwa bizuri sana kitandani.
pia Usafi kwako wewe + na Comment ya awali ni uhakika unatatua tatizo
Mungu akutangulie alliye mponyaji mkuu
Kama ni hivyo mahari irudishwe ndoa ivunjwe. Nashukuru wanaume hatuoi mizigo siku hizi, tunaoa vichwa.huna maajabu ndioo maana haoni umuhimu wakukuambia anahitaji bora abaki na kiu yake .
ungekuwa unamaajabu ungebwanwa na wivu ungeonewa kweli hana shida yeyote unaboa tu.
anaona bora abaki na nguvu zake