Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Du Mume nae kaolewa na Emma ningekuw mi ningefanya upelelezi wangu siku Emma kaja kulala home ningewavizia ningemaliza mchezo apo apo
 
Hakuna cha wanaume wa dar wala wanaume wa mikoani wote wale wale tu
Ila mimi jamani mume wangu ni bora hata awe jambazi kuliko shoga
Mwali kuna mambo hata hayafikiriki ati!! Kwamba mimi unaniimbisha chorus zote halafu na wewe kuna anayekuimbisha vile vile? 🤷‍♀️
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Du Mume nae kaolewa na Emma ningekuw mi ningefanya upelelezi wangu siku Emma kaja kulala home ningewavizia ningemaliza mchezo apo apo
Huyu aliamua kuwa "Tomaso" hakutaka kuamini hata kile alichokishuhudia nyumbani kwake mpaka alipohadithiwa!
 
Mwali kuna mambo hata hayafikiriki ati!! Kwamba mimi unaniimbisha chorus zote halafu na wewe kuna anayekuimbisha vile vile? [emoji2368]
Yaani acha tu ndugu yangu ni ngumu kumeza ila ndiyo hali halisi
 
Kuna mtu namfahamu ukimuangalia mienendo yake na jinsi alivyo gentlemen ukiambiwa anapumuliwa huezi amini.

Ameoa na ana mtoto mmoja, haishi pamoja na mke wake wako mikoa tofauti kutokana na majukumu.

Mkewe analalamika hapewi mijegejo kwa ukamilifu wake, jamaa (mme) akiulizwa kulikoni mbona uko na under peformance? Unaambiwa jamaa anakuwa mbogo.

Huwa najiuliza siku huyo mkewe akijua tabia za mumewe itakuaje?.

Naunga mkono hoja yako, nyumba zina siri nzito mengine yakiwekwa wazi watu wote midomo wazi.
juzi kati hapa jf, mtu alichomoa betri lakini kwa msaada wa moderators wakawahi chap bin haraka betri ikawekwa sawa maisha yakaendelea hadi leo hii pako shwari, la sivyo pangelipuka

nadhani ile ilikuwa ni chuki za kisiasa, hivyo watu wakataka kuchafuana
 
Mwambie rafiki yako aandike mwenyewe sredi jeiefu, kuna wanaume watahitaji kumpa faraja jukwaa la piemu...
 
Yaani inashangaza. halafu huyo baba nasikia alisoma shule za seminari ya katoliki
Kama alisoma Seminary basi sio losa lake msameheni ndo michezo yao anzia kule.

Iko hivi.. Kuna ticha wangu wa Geography enzi nipo olevel, yeye ticha alisoma Seminary jamaa alikua ananipenda sana maana nilikua napasua all the subjects, sasa kila time ananiita na kunambia stories zisizo za maana ++ mpaka namaliza school sjai muelewa yule ticha na stories zake.

Siku flani nimekutana nae akaniomba namba zangu jioni yake akanza kunita majina as If ye ni demu wangu nkwambia Sir mbona skuelewi.. Asee akanifungukia kuwa anataka nimtie (nimzamishie mkuyenge) atanipa laki halafu kila mwezi atakua ananilipa 50k. Af eti alikua ananipenda anzia school but aliogopa kunambia.. Huezi amini nlimblock palepale.. Asee kwanza ukimuona huezi amini kwa jinsi alivo mstaarabu + mkatoliki saafi.

Then nkafatilia stories zake nkaambiwa jamaa anahonga adi watu wa mtaani ela ili wamle ndogo.

Haya mambo yapo sana @OP and that friend of yours haezi mzuia tena uyo mume wake af hawanaga aibu yaaani hata wakijulikana hawaogopi wapo tayari kwa lolote.

Mshauri best ako amuachie MUNGU sababu haezi mbadilisha, If possible atemane na jamaa kuondoa aibu Ila kumbadilisha asahau.

*Sorry najua nimeleta mada yangu but It was just a reference.
 
Duuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom