- Thread starter
- #21
Anasema, mumewe hata akimuona wanaongea na Emma anamfokea kweli, "unaongea nini na huyo mtoto mdogo, Emma twen'zetu..."Waolewe wote na Emma wagawane siku za kulala na mume
Anasema, mumewe hata akimuona wanaongea na Emma anamfokea kweli, "unaongea nini na huyo mtoto mdogo, Emma twen'zetu..."Waolewe wote na Emma wagawane siku za kulala na mume
Ukipata muda soma tena, kama kuna sehemu nimeandika hivyo mkuukwa hiyo jamaa alikuwa anamuaga mkewe na kwenda kulala na Emma..hii chai haijakolea viungo
Usicheke mkuu, ni majanga kwenye ndoaHaha...
Yaani inashangaza. halafu huyo baba nasikia alisoma shule za seminari ya katolikiDuuh Hatari waanzaje kugeuzwa
Sijatunga mkuu. na wala sina kipaji cha akina Erick Shigongo, elewa tu kwamba kuna watu wana matatizo kwenye ndoa, na pia ndoa zimejaa vituko.Hadithi hii ya kutungwa imezidi chumvi "eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma'
Sio kwamba wanakwama mkuu, ni tabia tu ya baadhi ya watuWANAUME WA MWANZA MNAKWAMA WAPI??!!
Emma ameshika hatamuAnasema, mumewe hata akimuona wanaongea na Emma anamfokea kweli, "unaongea nini na huyo mtoto mdogo, Emma twen'zetu..."
Yaani, wanadamu wana vituko hadi Ibilisi anaomba kujifunza kwaohii dunia sijui tunaelekea wapi jamani
Yaani my role model, ni vituko. Halafu yule baba hata haoneshi kabisa. Hata akiwa mwenyekiti kwenye vikao vya harusi anaendesha vizuri tu! InatishaEmma ameshika hatamu
HUYO NAYE MWINGI WA HABARI INAMAANA ANARINGANISHA MAPIGO YA MUMEWE NA YA HAWARA YAKEHuyo rafiki yako alijuaje kuwa kuna fimbo za kutosha na za mumewe ni nusu nusu?
kuna bibi akija akasoma hii reply yako atafurahi hatari.Yaani inashangaza. halafu huyo baba nasikia alisoma shule za seminari ya katoliki
Wee unataka viungo gani kwani?kwa hiyo jamaa alikuwa anamuaga mkewe na kwenda kulala na Emma..hii chai haijakolea viungo