Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,977
- 871,050
Hii ndio avatar yako? Basi sawaJiheshimu we mzee basi, kuweka hizi screenshots hapa ni ukosaji wa matumizi sahihi ya ubongo kufikiria.alaaa
Hii ndio avatar yako? Basi sawaJiheshimu we mzee basi, kuweka hizi screenshots hapa ni ukosaji wa matumizi sahihi ya ubongo kufikiria.alaaa
Mwambie huyo mama kuwa; Hana adabu na zaidi ya yote hakufunzwa vyema kwao. Kwa nini alienda kukueleza wewe ambaye huwezi kuweka kifuani?? Alipokuja kwako si heri angeenda kwa huyo Imma na kumwomba msaada kuwa, iweje amshughulikie mume wake halafu anamwacha na uchu usiku kucha?? Amwombe Imma wawe wakikaa nyumba moja tu sasa kwa kuwa babaa ndo anataka hivyo.
Nasema, huyo mwanamke ni jingaa sana. Sasa, angojee aone kama babaa atamleta tena huyo Imma mpya home. Anavyo mpenda alitaka wale pamoja huo mhogo kumbe limama likapeleka maneno kwa watu. Pole zake, sasa atakosa yote kwani mumewe atamwambia, wenzangu wamenizidishia dozz
Afadhali umruhusu mumeo akalale chumbani na house girl kuliko akalale chumbani na lidume jenzake, kuna madume yana mikuki ya ki Wabogojo, mkuki unaingia hadi unapita kooni unatokea mdomoni, unaweza kumuua mumeo kiboya kwa kosa la kutotumia akili kidogo tu.Mkuu, hivi hili kweli nalo linahitaji ushauri..!!??
Yaani huyo rafiki yako hadi anafikia kuona mumewe akijihushisha na kijana Emma, tena kwenye mazingira tatanishi..... Hapo napo bado anakuja kukuomba ushauri kweli...!!??
Anyway, yawezekana mimi kidogo nina ugumu wa akili kuelewa haya mambo. Ingawa nijuavyo mimi, kuna baadhi ya mambo/matukio yanapo kukuta ana unapo gundua haupaswi kuomba ushauri, zaidi ni kufanya maamuzu ambayo ni hatua na baada ya hapo ndipo mazungumzo yafuate.
Yaani my role model, ni vituko. Halafu yule baba hata haoneshi kabisa. Hata akiwa mwenyekiti kwenye vikao vya harusi anaendesha vizuri tu! Inatisha
wanaume hatuwezi isha maana mi alone nawakilisha wanaume 700 wa darSalaam.
Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.
Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.
Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.
Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.
Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
Upo??Mmmmmmmhghhh!
Aisee uyo mwalimu na Ema wote ******* tu kwakweli usisahau kuleta na feedback'sSalaam.

kumbe wewe ni pisi?
visima vingi ila maji ni yale yale tuHuyo rafiki yako alijuaje kuwa kuna fimbo za kutosha na za mumewe ni nusu nusu?
mwanza yako imeaibisha kwakweliNyumba zina mengi hizi,,
mapadri wengi wanafokolewaga mkuuKusoma shule za seminary na huo ushenzi wake vinahusiana nini , embu fafanua tukuelewe
kwenye group unawahi kumwambia jamaa au?aingie whatsap atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active. [emoji117][emoji117][emoji117][emoji125][emoji125][emoji125]ngoja niwahi[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]
wazanaki jauMkuu Rehema (nimetamka jina lako kibantu) ujue kuna wanaume wababe hadi wanapitiliza. Huyu baba ni mtu wa Mara (mzanaki) halafu mkewe ni msukuma wa Busega Simiyu. Inaonekana mume anatumia ubabe wa Mara. Lakini pia huyu dada sio sharp sana, pia shule yake iko hafifu, sio mtu wa kujichanganya na watu, yeye anauza mitumba yake tu.
usikute anavaaga puzo tuBasi muulize huyo shoga yako je hajawai kukutana na chupi ya mumewe ikiwa na kama vitu vya haja kubwa wakati anamfulia nguo zake za ndani?