Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Sijatunga mkuu. na wala sina kipaji cha akina Erick Shigongo, elewa tu kwamba kuna watu wana matatizo kwenye ndoa, na pia ndoa zimejaa vituko.
Kuna mtu namfahamu ukimuangalia mienendo yake na jinsi alivyo gentlemen ukiambiwa anapumuliwa huezi amini.

Ameoa na ana mtoto mmoja, haishi pamoja na mke wake wako mikoa tofauti kutokana na majukumu.

Mkewe analalamika hapewi mijegejo kwa ukamilifu wake, jamaa (mme) akiulizwa kulikoni mbona uko na under peformance? Unaambiwa jamaa anakuwa mbogo.

Huwa najiuliza siku huyo mkewe akijua tabia za mumewe itakuaje?.

Naunga mkono hoja yako, nyumba zina siri nzito mengine yakiwekwa wazi watu wote midomo wazi.
 
Aisee..viatu vya shoga yako havinitoshi ila huruma Sana

Inanikumbusha dada mmoja aliyewahi share kitanda kimoja na mumewe pamoja na shoga..ila alivyoona yamezidi huyo akaachia ngazi

Rafiki yako afanye maamuzi sahihi
 
Kuna mtu namfahamu ukimuangalia mienendo yake na jinsi alivyo gentlemen ukiambiwa anapumuliwa huezi amini.

Ameoa na ana mtoto mmoja, haishi pamoja na mke wake wako mikoa tofauti kutokana na majukumu.

Mkewe analalamika hapewi mijegejo kwa ukamilifu wake, jamaa (mme) akiulizwa kulikoni mbona uko na under peformance? Unaambiwa jamaa anakuwa mbogo.

Huwa najiuliza siku huyo mkewe akijua tabia za mumewe itakuaje?.

Naunga mkono hoja yako, nyumba zina siri nzito mengine yakiwekwa wazi watu wote midomo wazi.
Hata huyu dada anaema mumewe ni mbogo. Tena hawa wana watoto 6 kabisa.
 
Salaam.

Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.

Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.

Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie whatsap atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.

Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.

Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.

aingie whatsap atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active. [emoji117][emoji117][emoji117][emoji125][emoji125][emoji125]ngoja niwahi[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]
 
1. Anaenda kulala chumba cha wageni na mgeni wake.

2. Fundi emma ndo atakerithi mali zake.

Huyo mke ameshindwa kusoma alama za nyakati.
Unajua mkuu kuna wanawake sio "wapekepeke" wa kufuatilia mambo, au kusoma alama za nyakati kama ulivyosema. Huyu dada anafanya biashara ya mitumba soko fulani hivi hapa Mwanza maarufu Mlango mmoja. Halafu anasema mumewe anakuwa mkali mkali muda wote hasa mgeni Emma akiwa hapo kwao. Anasema hata siku za Jumapili anaweza kuambiwa awasongee ugali saa tatu asubuhi, wanataka kula waende zao
 
Ahakikishe anawafungisha ndoa yeye na Emma then achukukue kila kilicho chake kama in kugawana wagawane,otherwise awe msagaji wasgane na mumewe tu tofauti na halo no way,we mwelekeze being za dildo awe wanasagana na shoga make maana so mume tena
Siwezi kutia neno kwenye hiyo issue. Ni jambo kubwa na la hatari. Huwa najifanya ni bingwa wa mediation kama sio negotiation lakini kwa hapo siwezi. Hilo jambo ni kubwa. Mwishowe yasije yakatoka kwa mjambaji yakaja kwangu mtema mate.
 
Kuhusu group ni kweli lipo... So sad.. [emoji24][emoji24][emoji24]vijana wadogo halafu wachafuchafu hivi
Screenshot_20190924-133631.jpeg
Screenshot_20190924-133610.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom