Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Yaani hapo ndio najiuliza sipati jibu! Yaani baba nanihii aniache nilale chumbani kwetu peke yangu halafu yeye akalale na mwanaume mwenzie chumba cha wageni??!! 😲
Walahi hapatalalika siku hio 😡🤬
Hakuna anayeweza kukubali. ndio shida ya stori ya kupikwa na maviungo ya kila aina
 
Ni kweli shule za boarding zinachangia hili swala?

Yani us**ga na us***ji?

Je nini kifanyike kutatua tatizo kama ni kweli?
 
Muonyeshe hii mada atapata mawazo lakini ingekuwa ni mie ningemuacha tu japo inauma sana sana,, hii ni upande wa kusamehe

Lakini kama akiamua kumuadhibu mumewe ni yeye mke kuwa na mahusiano na huyo fundi Emma(kalidhalilisha sana hili jina) hii ndo pigo pekee la kumuumiza huyo shoga mumewe
Jana katika kuvuta kumbukumbu anasema, "ndio maana ilikuwa hata akinikuta tu naongea na Emma anakuwa mkali sana, anafoka, hivi unaongea nini na huyo mtoto mdogo, Emma hebu twen'zetu..." yaani anaonekana ana wivu mkewe asije akamchukulia "mume"
 
1. Anaenda kulala chumba cha wageni na mgeni wake.

2. Fundi emma ndo atakerithi mali zake.

Huyo mke ameshindwa kusoma alama za nyakati.
Yaani mwanamke mwenzangu anahitaji maombi ya kufunga na sala ya toba. Kipofu wa kuona...kiziwi wa kusikia...akili imeganda hata kujumlisha matokeo hawezi!
 
Yaani hapo ndio najiuliza sipati jibu! Yaani baba nanihii aniache nilale chumbani kwetu peke yangu halafu yeye akalale na mwanaume mwenzie chumba cha wageni??!! 😲
Walahi hapatalalika siku hio 😡🤬
Mkuu Rehema (nimetamka jina lako kibantu) ujue kuna wanaume wababe hadi wanapitiliza. Huyu baba ni mtu wa Mara (mzanaki) halafu mkewe ni msukuma wa Busega Simiyu. Inaonekana mume anatumia ubabe wa Mara. Lakini pia huyu dada sio sharp sana, pia shule yake iko hafifu, sio mtu wa kujichanganya na watu, yeye anauza mitumba yake tu.
 
Yaani mwanamke mwenzangu anahitaji maombi ya kufunga na sala ya toba. Kipofu wa kuona...kiziwi wa kusikia...akili imeganda hata kujumlisha matokeo hawezi!
Ajiombee mwenyewe, kila mtu ana shida zake. Ila anaonekana ni mzito sana wa kusoma alama za nyakati. Upekepeke nao unasadia sometimes
 
Yaani hapo ndio najiuliza sipati jibu! Yaani baba nanihii aniache nilale chumbani kwetu peke yangu halafu yeye akalale na mwanaume mwenzie chumba cha wageni??!! [emoji44]
Walahi hapatalalika siku hio [emoji35][emoji2959]
Yaani hata Mimi nafikiria eti Mke wangu aje shoga yake nyumbani alafu usiku aniambie eti anaenda kulala na shoga yake chumba kingine,mbona na Mimi nitajiunga nao huko chumba kingine ili nijuwe kinachoendelea!!
 
Mkuu Rehema (nimetamka jina lako kibantu) ujue kuna wanaume wababe hadi wanapitiliza. Huyu baba ni mtu wa Mara (mzanaki) halafu mkewe ni msukuma wa Busega Simiyu. Inaonekana mume anatumia ubabe wa Mara. Lakini pia huyu dada sio sharp sana, pia shule yake iko hafifu, sio mtu wa kujichanganya na watu, yeye anauza mitumba yake tu.
Sasa Ubabe huku unageuzwa inakuaje tena hapo!! Daaaah!
 
Jana katika kuvuta kumbukumbu anasema, "ndio maana ilikuwa hata akinikuta tu naongea na Emma anakuwa mkali sana, anafoka, hivi unaongea nini na huyo mtoto mdogo, Emma hebu twen'zetu..." yaani anaonekana ana wivu mkewe asije akamchukulia "mume"
Na hapo ndo pa kumuadhibia ni kumchukulia huyo mumewe
 
Yaan nimejaribu kujiweka kwenye viatu vya huyo mke wa jamaa...havinitoshi kabisa!
Haviwezi kukutosha, post #42 nimeandika kisa ninachokifahamu kabisa. Cha kusikitisha huyo mke wa jamaa anaepumuliwa ni binti mdogo kama sio 24 atakua na miaka 25!! Fikiria siku akijua mume sio ridhiki itakuaje?

Hii dunia ina mambo mkuu.
 
Mwanza nako wapo[emoji16][emoji16][emoji16].
Mi na pita tu[emoji1324][emoji1324][emoji1324]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom