- Thread starter
- #321
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈndiyo

unataka uniunganishie?[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sana tuu.Ukipewa utatafuna?
ππππππππSana tuu.
Hadithi hii ya kutungwa imezidi chumvi "eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma'
UKIWA mwongo uwe na kumbukumbu humu kuna wahariri kibao eti ANAMWAMBIA MKEWE naenda kulala kwa EMMA we unadhani kuwa na ndoa ni kama kuwa na malaya getoSalaam.
Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.
Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Wakati mwingine anamwambia mkewe kuwa nimeshikwa na msuli, ngoja nimpigie Emma aje anichue. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.
Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.
Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.
Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
Ongeza sauti hata sijakuelewa!UKIWA mwongouwe na kumbukumbu humu kuna watabiri kibao eti ANAMWAMBIA MKEWE E ANALALA NA EMMA we u nadhani kuwa na ndoa ni kama kuwa na malaya geto
Ngoja tuanze kufikiria kuoa wanawake wawili wawili for sure maana kwa hali hii wanaume wanazidi kuisha.
hahaaha, wazo zuriNgoja tuanze kufikiria kuoa wanawake wawili wawili for sure maana kwa hali hii wanaume wanazidi kuisha.
Rusha namba basi swaiba.ππππππππ
Hadithi hii ya kutungwa imezidi chumvi "eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma'
my sister you have riped my ribs apart, ati what?????? π π π π π π π π π π π π πHuyo rafiki yako alijuaje kuwa kuna fimbo za kutosha na za mumewe ni nusu nusu?
Haya tunayakumbuka kipindi fulani fulani vile! Hebu niunganishe na huyo mdada maana mume siyo riziki tena, bwabaaa!Salaam.
Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.
Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Wakati mwingine anamwambia mkewe kuwa nimeshikwa na msuli, ngoja nimpigie Emma aje anichue. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.
Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.
Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.
Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
Kuna uhusikaHuyo rafiki yako alijuaje kuwa kuna fimbo za kutosha na za mumewe ni nusu nusu?