Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,444
- 154,941
Tena kwa herufi kubwa zenye bold kila mtu alione asikose kulijua!Tobaaa!! Na ndio maana na jina la WhatsApp group limetajwa kabisa!! 😤
Tena kwa herufi kubwa zenye bold kila mtu alione asikose kulijua!Tobaaa!! Na ndio maana na jina la WhatsApp group limetajwa kabisa!! 😤
Aliambiwa na washambenga ambao wanapigwa fimbo za kutosha hivyo akalinganisha na anazopigwa yeyeHuyo rafiki yako alijuaje kuwa kuna fimbo za kutosha na za mumewe ni nusu nusu?
Duh! hatari sana,,Yaani hadi inatisha. halafu yule baba namjua. yaani kila nikivuta picha hata siamini
Mwambie amkomeshe mumewe(mke mwenza) kwa kulala na huyo emmaSalaam.
Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.
Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.
Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.
Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.
Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
hata kapicha hamna.....tumfahamu hata tukipisha kitaa tumutambue....Yaani hadi inatisha. halafu yule baba namjua. yaani kila nikivuta picha hata siamini
Ha ha we jamaa jibu lako limenichekesha sanaAliambiwa na washambenga ambao wanapigwa fimbo za kutosha hivyo akalinganisha na anazopigwa yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadithi hii ya kutungwa imezidi chumvi "eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma'
Hahahah..! Umeirudia ID yako..
Je kama Ema ana mkono wa nyani?
Yaani mume alikuwa anawatafuna wote wawili threesome au nimeelewa tofautiAisee..viatu vya shoga yako havinitoshi ila huruma Sana
Inanikumbusha dada mmoja aliyewahi share kitanda kimoja na mumewe pamoja na shoga..ila alivyoona yamezidi huyo akaachia ngazi
Rafiki yako afanye maamuzi sahihi
Siyo kweli mi naona Mke kaamua kumchafua Mumewe wanayao hao na kuna fukuto la moshi na very soon tutauwona moto!Emma anamfira mwalimu
Yeah alikua anawagonga wote na kibaya zaidi mke alikua na mtoto mdogo sanaYaani mume alikuwa anawatafuna wote wawili threesome au nimeelewa tofauti
Ha ha haYaani hata Mimi nafikiria eti Mke wangu aje shoga yake nyumbani alafu usiku aniambie eti anaenda kulala na shoga yake chumba kingine,mbona na Mimi nitajiunga nao huko chumba kingine ili nijuwe kinachoendelea!!
Leo wanaume wa Dar si zamu yenu[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa mikoani,fully kupumuliwa.