Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Aisee..viatu vya shoga yako havinitoshi ila huruma Sana

Inanikumbusha dada mmoja aliyewahi share kitanda kimoja na mumewe pamoja na shoga..ila alivyoona yamezidi huyo akaachia ngazi

Rafiki yako afanye maamuzi sahihi
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji40]
 
Yaani hata Mimi nafikiria eti Mke wangu aje shoga yake nyumbani alafu usiku aniambie eti anaenda kulala na shoga yake chumba kingine,mbona na Mimi nitajiunga nao huko chumba kingine ili nijuwe kinachoendelea!!
Sie wanawake tuna maadili kidogo kuliko nyie wenzetu. Hawezi kufanya hivyo!
 
Jana katika kuvuta kumbukumbu anasema, "ndio maana ilikuwa hata akinikuta tu naongea na Emma anakuwa mkali sana, anafoka, hivi unaongea nini na huyo mtoto mdogo, Emma hebu twen'zetu..." yaani anaonekana ana wivu mkewe asije akamchukulia "mume"
Kwa statement hii ukiaangalia kwa jicho la tatu huyo Mke ndiyo anatembea na Emma na soo limeshambumbuluka sema Mke anaanza kutafuta huruma kwa mashoga zake!
 
Kwa statement hii ukiaangalia kwa jicho la tatu huyo Mke ndiyo anatembea na Emma na soo limeshambumbuluka sema Mke anaanza kutafuta huruma kwa mashoga zake!
Hapana mkuu
 
Hii ni kama hadithi haina mashiko maana inaacha maswali mengi nyuma ambayo wwe huwezi kuyajibu!!
Kuna namna ya uwasilishaji ambayo inaacha maswali lakini haibadilishi uhalisia wa haya mambo mkuu.

Mleta mada amewasilisha kwa namna alivyosimuliwa pengine kuna mahali amenogesha au kuna baadhi ya vitu hajaweka.
 
Hakika hua unasaidia haswaa
Unajua hata hii ya kujifanya huna time na watu ni hasara. Ona sasa kumbe watu kibao wanajua. Wakati mwingine ni bora kujichanganya changanya na watu, tena hata ikiwezekana wale wanaonekana duni wafanye ndio marafiki zao waweza kupata mengi
 
Jana katika kuvuta kumbukumbu anasema, "ndio maana ilikuwa hata akinikuta tu naongea na Emma anakuwa mkali sana, anafoka, hivi unaongea nini na huyo mtoto mdogo, Emma hebu twen'zetu..." yaani anaonekana ana wivu mkewe asije akamchukulia "mume"
Ha ha mtoto mdogo ilihali anampanda, asee jamaa kazingua sana. Ana umri gani huyo mwl
 
Muonyeshe hii mada atapata mawazo lakini ingekuwa ni mie ningemuacha tu japo inauma sana sana,, hii ni upande wa kusamehe

Lakini kama akiamua kumuadhibu mumewe ni yeye mke kuwa na mahusiano na huyo fundi Emma(kalidhalilisha sana hili jina) hii ndo pigo pekee la kumuumiza huyo shoga mumewe
Je kama Ema ana mkono wa nyani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom