Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,971
35,113
Salaam.

Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.

Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Wakati mwingine anamwambia mkewe kuwa nimeshikwa na msuli, ngoja nimpigie Emma aje anichue. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.

Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.

Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.

Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
 
Mkuu, hivi hili kweli nalo linahitaji ushauri..!!??
Yaani huyo rafiki yako hadi anafikia kuona mumewe akijihushisha na kijana Emma, tena kwenye mazingira tatanishi..... Hapo napo bado anakuja kukuomba ushauri kweli...!!??
Anyway, yawezekana mimi kidogo nina ugumu wa akili kuelewa haya mambo. Ingawa nijuavyo mimi, kuna baadhi ya mambo/matukio yanapo kukuta ana unapo gundua haupaswi kuomba ushauri, zaidi ni kufanya maamuzu ambayo ni hatua na baada ya hapo ndipo mazungumzo yafuate.
 
Back
Top Bottom