Dooh wanaume mnazidi kupungua tu
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Waolewe wote na Emma wagawane siku za kulala na mume
nitake radhi mkuu
Kuhusu group ni kweli lipo... So sad.. [emoji24][emoji24][emoji24]vijana wadogo halafu wachafuchafu hiviView attachment 1214919View attachment 1214920
Hapa mm ndio sijapaelewa!kwa hiyo jamaa alikuwa anamuaga mkewe na kwenda kulala na Emma..hii chai haijakolea viungo
Nibora unakuwa ujui Mungu anaweza kukunusuru kuliko unajua kabisa hili pori linasimba na bado unajipelekaUlichoandika hapa ni kujifurahisha,, inayonikula nina uhakika gani haipitishwi topeni!!! Moyo wa mtu kichaka mkuu
Hili ni swali la msingi zaidi.
Sio kwa dunia hii tuliyomo mkuu,, hujui ama unajua haiondoi maambukizi ya UTI na heri ujue utajua unajikingaje na hiyo UTINibora unakuwa ujui Mungu anaweza kukunusuru kuliko unajua kabisa hili pori linasimba na bado unajipeleka
Yeah alikua anawagonga wote na kibaya zaidi mke alikua na mtoto mdogo sana
Kivyovyote ambae yuko salama dunia hii ya sasa ni yule asieshiriki kabisa ngono,, tuliobaki ni kudra zake maulana tu
Mbona unalirudiarudia hili neno seminar unataka tukueleweje mkuu?!...Nasikia kasoma seminari hadi Ntungamo ndio akaachia hapo
Ndo ukoje huo?
Duh mshikaji una bahati ya mtende maana Mimi pamoja na umri wangu wote huu sijawai pewa zawadi ya tigo toka kwa mtu yoyote yule labda offfer ije sasa hivi!¡!Kama alisoma Seminary basi sio losa lake msameheni ndo michezo yao anzia kule.
Iko hivi.. Kuna ticha wangu wa Geography enzi nipo olevel, yeye ticha alisoma Seminary jamaa alikua ananipenda sana maana nilikua napasua all the subjects, sasa kila time ananiita na kunambia stories zisizo za maana ++ mpaka namaliza school sjai muelewa yule ticha na stories zake.
Siku flani nimekutana nae akaniomba namba zangu jioni yake akanza kunita majina as If ye ni demu wangu nkwambia Sir mbona skuelewi.. Asee akanifungukia kuwa anataka nimtie (nimzamishie mkuyenge) atanipa laki halafu kila mwezi atakua ananilipa 50k. Af eti alikua ananipenda anzia school but aliogopa kunambia.. Huezi amini nlimblock palepale.. Asee kwanza ukimuona huezi amini kwa jinsi alivo mstaarabu + mkatoliki saafi.
Then nkafatilia stories zake nkaambiwa jamaa anahonga adi watu wa mtaani ela ili wamle ndogo.
Haya mambo yapo sana @OP and that friend of yours haezi mzuia tena uyo mume wake af hawanaga aibu yaaani hata wakijulikana hawaogopi wapo tayari kwa lolote.
Mshauri best ako amuachie MUNGU sababu haezi mbadilisha, If possible atemane na jamaa kuondoa aibu Ila kumbadilisha asahau.
*Sorry najua nimeleta mada yangu but It was just a reference.
Jitafakari maneno yako ambayo unatowa kwa watu wazima wenzako humu hatupendi matusi humu ebu tuheshimiane humu ,kama unapenda matusi kutanene inbox!!!kapeace
Nimesoma maoni nashangaa tu DHAKARI imeinuka. Sijui kwanini nimekutamani hivyo kiasi cha kutaka dhakari iingie ktk papuchi yako
Bazazi
Anaamanisha tusipeleke watoto wetu au wadogo zetu shule za Seminari zitawaharibu kama huyo shemeji yake anae ngongwa according to her!!!Mbona unalirudiarudia hili neno seminar unataka tukueleweje mkuu?!...