Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

Hadithi hii ya kutungwa imezidi chumvi "eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma'
kweli aisee, chumvi i kali mno, kwa hali ya kawaida , huyo bwana hata kama ni shoga lililokubuhu haliwezi kumkaribisha mtu ndani na lilale nae limwache mkewe na mkewe asishtuke chochote
 
Salaam.

Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.

Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.

Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie whatsap atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.

Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.

Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.

Hii ni kama hadithi haina mashiko maana inaacha maswali mengi nyuma ambayo wwe huwezi kuyajibu!!
 
kweli aisee, chumvi i kali mno, kwa hali ya kawaida , huyo bwana hata kama ni shoga lililokubuhu haliwezi kumkaribisha mtu ndani na lilale nae limwache mkewe na mkewe asishtuke chochote
Ndio ushangae na wewe, kuwa kanogewa kiasi gani? au nidharau gani hiyo kwa mkewe. Hadi anafikia kumwambia huyu ndie atakayenivalisha nguo mochwari nikifa, mara huyu ndie atakuwa mrithi wangu na kama hivyo kumwambia mie naenda kulala na mgeni wangu. Ni ajabu sana. Mie hadi nimehisi labda huyu mtu anakaribia kuchizi
 
Yaani my role model, ni vituko. Halafu yule baba hata haoneshi kabisa. Hata akiwa mwenyekiti kwenye vikao vya harusi anaendesha vizuri tu! Inatisha
Labda Mke wake kaamua kumchafua Mumewe maana wanawake nao wakitaka yao hawashindwi na kitu!!
 
Kuf***na umefeli sana kuandika neno kali afu umenena vyema sana kuhusu m**o.

So umeruka mavi lakini umekanyaga mkojo
 
Unajua mkuu kuna wanawake sio "wapekepeke" wa kufuatilia mambo, au kusoma alama za nyakati kama ulivyosema. Huyu dada anafanya biashara ya mitumba soko fulani hivi hapa Mwanza maarufu Mlango mmoja. Halafu anasema mumewe anakuwa mkali mkali muda wote hasa mgeni Emma akiwa hapo kwao. Anasema hata siku za Jumapili anaweza kuambiwa awasongee ugali saa tatu asubuhi, wanataka kula waende zao
Hii tabia ya ukali ni defensive mechanism yao.
 
Muonyeshe hii mada atapata mawazo lakini ingekuwa ni mie ningemuacha tu japo inauma sana sana,, hii ni upande wa kusamehe

Lakini kama akiamua kumuadhibu mumewe ni yeye mke kuwa na mahusiano na huyo fundi Emma(kalidhalilisha sana hili jina) hii ndo pigo pekee la kumuumiza huyo shoga mumewe
kapeace hata sithubutu kuweka neno hapo. Mie akija tena kuniomba ushauri nitamwambia aende kwa Paroko. Mie naogopa mambo ya wanandoa
 
Hadithi hii ya kutungwa imezidi chumvi "eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma'
Yaani hapo ndio najiuliza sipati jibu! Yaani baba nanihii aniache nilale chumbani kwetu peke yangu halafu yeye akalale na mwanaume mwenzie chumba cha wageni??!! 😲
Walahi hapatalalika siku hio 😡🤬
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom