kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,658
haki bibi yangu i smell itHili ni tangazo la ushoga.
haki bibi yangu i smell itHili ni tangazo la ushoga.
hautaki kukopesa andika EMA ANAMFIRA MWALIMU WA USHOGA MWANZAEmma anamfira mwalimu
oh! shit nipo hapa mm jambakunyaHakuna cha wanaume wa dar wala wanaume wa mikoani wote wale wale tu
Ila mimi jamani mume wangu ni bora hata awe jambazi kuliko shoga
basi wa Catholic nje wasafi ndani wachafuKama alisoma Seminary basi sio losa lake msameheni ndo michezo yao anzia kule.
Iko hivi.. Kuna ticha wangu wa Geography enzi nipo olevel, yeye ticha alisoma Seminary jamaa alikua ananipenda sana maana nilikua napasua all the subjects, sasa kila time ananiita na kunambia stories zisizo za maana ++ mpaka namaliza school sjai muelewa yule ticha na stories zake.
Siku flani nimekutana nae akaniomba namba zangu jioni yake akanza kunita majina as If ye ni demu wangu nkwambia Sir mbona skuelewi.. Asee akanifungukia kuwa anataka nimtie (nimzamishie mkuyenge) atanipa laki halafu kila mwezi atakua ananilipa 50k. Af eti alikua ananipenda anzia school but aliogopa kunambia.. Huezi amini nlimblock palepale.. Asee kwanza ukimuona huezi amini kwa jinsi alivo mstaarabu + mkatoliki saafi.
Then nkafatilia stories zake nkaambiwa jamaa anahonga adi watu wa mtaani ela ili wamle ndogo.
Haya mambo yapo sana @OP and that friend of yours haezi mzuia tena uyo mume wake af hawanaga aibu yaaani hata wakijulikana hawaogopi wapo tayari kwa lolote.
Mshauri best ako amuachie MUNGU sababu haezi mbadilisha, If possible atemane na jamaa kuondoa aibu Ila kumbadilisha asahau.
*Sorry najua nimeleta mada yangu but It was just a reference.
Bwabwa lingine hiliSalaam.
Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.
Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.
Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.
Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.
Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
oh! shit nipo hapa mm jambakunya
Nipo mkuu ntaenda wap?Upo??
Duuuh ndioo maswali gani haya mkuu🤣🤣🤣🤣🤣Huyo rafiki yako alijuaje kuwa kuna fimbo za kutosha na za mumewe ni nusu nusu?
Alafu kuna Wanawake wengine Wanaume tukiwatia mimba ma beki tatu au ma Demu wa nje wanapiga kelele kila kona ,onene zigo lililo mkuta mwenzenu amegundua hawara yake Emma anamla hadi Mumewe kudaadaadeekiii!!!Salaam.
Jana nikiwa kwenye mapombe yangu, akanipigia simu rafiki yangu kutaka kujua nilipo. Nilimwelekeza. alipofika tu, nilishangaa kumuona kavimba macho kwa kulia! Rohoni nikajisemea au na yeye ni ndugu wa Mkuu wa Majeshi yetu kwa hiyo anamlilia marehemu Nelson. Niliwaza hivyo kwa kuwa huyo dada na yeye kwao ni Simiyu Busega.
Akanieleza yaliyomkuta. Kwa kirefu ni kwamba mumewe ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini Mwanza. Mwezi wa Februari, 2019 mume wake alianza urafiki na kijana mdogo fundi ujenzi. Anasema urafiki ulizidi maana ilifikia kipindi hadi mumewe anamwambia kuwa, "nikifa hata leo, atakayenivalisha nguo mochwari ni huyu Emma, na pia Emma ndie atarithi mali zangu. Mume hakuishia hapo, eti siku zingine akawa anamkaribisha Emma alale kwake, halafu anamwambia mkewe kuwa naenda kulala chumba cha wageni na rafiki yangu Emma.
Sasa jana hiyo ndio akakutana na "shambenga" fulani hivi, katika kuongea ndio akamwambia kuwa, MUMEO MBONA ANAFANYWA NYUMA karibia kila mtu anajua! hata yule Emma ambaye wanaambatana muda wote ndie bwana ake mpya. Alikuwa na bwana ake mwingine tena mwanafunzi wake lakini wameachana. Nasikia shambenga alizidi kumsisitiza kuwa, kama anaweza kukagua simu ya mumewe, aingie WhatsApp atafute group linaloitwa MWANZA KUFIRANA huko atamuona mumewe alivyo active.
Rafiki yangu amechanganyikiwa. Anasema, hata bwana alikuwa hampigi "fimbo" za kutosha, alikuwa anamwacha tu hewani hewani kumbe anachoshwa na wanaume wenzie.
Mie nilimshauri atulie kwanza asifanye maamuzi yoyote hadi hasira zake zishuke.
Unaweza kuta pia Emma alianza kula mayai alafu akala mtetea na akamalizia kwa kumla Jogoo!!!Wakina Emaa tukutane kwa kikao naona mwenzetu amefanya tukio huko kala mama na baba bado watto ..
Hiyo ya juzi kati itakua ilinipita kushoto sikuionajuzi kati hapa jf, mtu alichomoa betri lakini kwa msaada wa moderators wakawahi chap bin haraka betri ikawekwa sawa maisha yakaendelea hadi leo hii pako shwari, la sivyo pangelipuka
nadhani ile ilikuwa ni chuki za kisiasa, hivyo watu wakataka kuchafuana
Itakua past experiences mama ake!mara nyingi sisi tukijua hatukai huwa tunapambana kuweka alama aisee,uendako ukumbuke “fimbo”Huyo rafiki yako alijuaje kuwa kuna fimbo za kutosha na za mumewe ni nusu nusu?
Kazaliwa 1973 ni lizee kabisaHa ha mtoto mdogo ilihali anampanda, asee jamaa kazingua sana. Ana umri gani huyo mwl
Kwani na nyie Dudu huwa linawazingua kiasi hiki?Ndio ushangae na wewe, kuwa kanogewa kiasi gani? au nidharau gani hiyo kwa mkewe. Hadi anafikia kumwambia huyu ndie atakayenivalisha nguo mochwari nikifa, mara huyu ndie atakuwa mrithi wangu na kama hivyo kumwambia mie naenda kulala na mgeni wangu. Ni ajabu sana. Mie hadi nimehisi labda huyu mtu anakaribia kuchizi
Sijambo mtani wangu. habari za siku ngapi ngapi hivi, umepotea kweliMambo
Mwanaume anayechepuka na Mwanaume anayefirwa wote sawa tuAlafu kuna Wanawake wengine Wanaume tukiwatia mimba ma beki tatu au ma Demu wa nje wanapiga kelele kila kona ,onene zigo lililo mkuta mwenzenu amegundua hawara yake Emma anamla hadi Mumewe kudaadaadeekiii!!!
Hivi nakumbuka nilishakupiga marufuku mazoea na mimi!!! Mara ID nyingine mara nikuulize pm? Aisee usinitibue
Narudia tena sitaki mazoea na wewe popote pale