Kama alisoma Seminary basi sio losa lake msameheni ndo michezo yao anzia kule.
Iko hivi.. Kuna ticha wangu wa Geography enzi nipo olevel, yeye ticha alisoma Seminary jamaa alikua ananipenda sana maana nilikua napasua all the subjects, sasa kila time ananiita na kunambia stories zisizo za maana ++ mpaka namaliza school sjai muelewa yule ticha na stories zake.
Siku flani nimekutana nae akaniomba namba zangu jioni yake akanza kunita majina as If ye ni demu wangu nkwambia Sir mbona skuelewi.. Asee akanifungukia kuwa anataka nimtie (nimzamishie mkuyenge) atanipa laki halafu kila mwezi atakua ananilipa 50k. Af eti alikua ananipenda anzia school but aliogopa kunambia.. Huezi amini nlimblock palepale.. Asee kwanza ukimuona huezi amini kwa jinsi alivo mstaarabu + mkatoliki saafi.
Then nkafatilia stories zake nkaambiwa jamaa anahonga adi watu wa mtaani ela ili wamle ndogo.
Haya mambo yapo sana @OP and that friend of yours haezi mzuia tena uyo mume wake af hawanaga aibu yaaani hata wakijulikana hawaogopi wapo tayari kwa lolote.
Mshauri best ako amuachie MUNGU sababu haezi mbadilisha, If possible atemane na jamaa kuondoa aibu Ila kumbadilisha asahau.
*Sorry najua nimeleta mada yangu but It was just a reference.