Ushauri: Jina Jipya

Nina mpango wa kubadili ID yangu ya Mwita25 kwasababu imekaa kishamba sana. Kwahiyo, ukiwa mpiganaji mwenzangu, naomba ushauri na maoni yako juu ya jina jipya linalofaa. Mchango wako ni muhimu sana na mshindi atapata kavocha ka buku 10 kwa njia ya PM kama shukrani yangu. Vigezo na masharti havitazingatiwa, Kazi Kwako mwanakwetu. Haya twendeeeeeeeeee
Hapa hatuangalii majina, tunaangalia hoja. Unaweza kuwa na jina la kimjini kabisa lakini hoja ndio zikawa za kishamba. Baki na ID hiyo hiyo usibadili.
 
Back
Top Bottom