Hapa hatuangalii majina, tunaangalia hoja. Unaweza kuwa na jina la kimjini kabisa lakini hoja ndio zikawa za kishamba. Baki na ID hiyo hiyo usibadili.
Naona unauza trade mark sio?Litakufaa sana hili: ODM
Hahahaha.....hommie bana! nataka nimBAN mtu kwa name calling LOLNaona unauza trade mark sio?
Ahaaa! Nilisahau, asiyejua maana usimpe maana. 'Ifinyongolo' linakufaa sana. Kama sivyo nijulishe nikupe mengine. Ninayo zaidi ya milioni.Miafrika ndivyo tulivyo, badala ya kuchangia hoja unaibua hoja nyingine. Umeambiwa toa ushauri juu ya jina jipya wewe unaleta busara za Abunuwasi.
hilo siyo jina ni salamu
"Inkosikazi" litakufaa, make unaonekana mtu wa kazi kwa hoja na matendo.
Mbona wewe hujajiita makalio?