Usafiri enzi zile Mwanza yetu

Usafiri enzi zile Mwanza yetu

Hiyo treni unayosema hg, usiombe kusafiri na daraja la 3 maarufu kama sogea tukae, unaweza kulia

Nkisafiri wanafunzi kwenda likizo,raha sana,na kufoji tiketi ili urudishiwe nauri shule
 
watoto wa mwanza walikua watundu sana nakumbuka mwaka 90 walikuanatabia ya kuzania tren pale steshen alafu wanashukia pale mwanza south maana ilikua inasimama sasa siku 1 ikapitiliza hadi fera madogo walirudi kwa miguu umbali wa 30km from town
 
jamaa kani kumbusha nilipokwenda kwa babu yangu pale tx muhonze/igombe asubuhi tulikua tunaamshwa na sauti ya kulalama ya digidigi bus layland la mwarabu wa kayenze tulikua tunasikia tu aaaanyh kwenye mlima hapo kuja kupita dk20 baadae tumetoka mbali
 
Kwenda nyegezi ilikuwa unakanyaga na kile kimuinuko ni noma kma zali lako ukutane na land lover za jeshi upate lifti.

Ha ha ha na kipindi kile tulikuwa tunawaogopa wajeda kinoma!
 
Wadau wa rock city enzi zile mnakumbuka Mwanza hapakuwa na usafiri wa vipanya kama leo. Vipanya vilikuwa Mabatini na Kirumba tu lakini Igombe kulikuwa na min bus zikiitwa Toto Tundu, Mayeji na Jalijalalam, Igoma kulikuwa na Last Boy na Mkuyuni air Jordan.

Huo sijui mwaka gani unouongelea, lakini nnajuwa aliyekuwa mwanzilishi wa basi za mjini Mwanza alianza kibasi kimoja tu kinaitwa Wahiwahi mwaka 1973 ilikuwa Nissan Bus ya passenger 24 na 1974 ikaongezeka ya pili Bus Leyland 52 passengers zikienda Igoma, 1974 ndio zikaanza kuongezeka za watu wengine. Siku hizo gari zilikuwa nyang'anyang'a mpya zilikuwa ni hizo za Wahiwahi tu.

Sijui kama ulikuwa umeshazaliwa wakati huo.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Mmh faizafox heshima kwako kama ulichoandika ni kweli
 
Last edited by a moderator:
Enzi hizo unanyolewa Bwenzi kwakisukuma tulikuwa tunaita (Bhusule) kwa wembe au mkasi vinyozi walikua makoroboi tu, na walikuwa wanatumia mikasi.
 
Enzihizo mikate ilikuwa inatengenezwa na Pagoniz peke yake.maziwa mgando yalikuwa yanauzwa na Genji wa Kamanga alikuwa na vituo vya kuuzia kila kona ya mji
 
Mashine ya kusaga Pasiansi na nyananoro ilikuwa nyamanoro kwenye mashine ya maji,aliyekuwa anasaga aliitwa Mashauli, ikiharibika mnachapa lapa maka Kirimba au Sahara kata ya Pamba
 
  • Thanks
Reactions: ram
Mashine ya kusaga Pasiansi na nyananoro ilikuwa nyamanoro kwenye mashine ya maji,aliyekuwa anasaga aliitwa Mashauli, ikiharibika mnachapa lapa maka Kirimba au Sahara kata ya Pamba

Mkuu saivi Pasiansi kama town tu, kuna ghorofa la Lenana na kwa chini kule Iloganzala maghorofa tu
 
watoto wa mwanza walikua watundu sana nakumbuka mwaka 90 walikuanatabia ya kuzania tren pale steshen alafu wanashukia pale mwanza south maana ilikua inasimama sasa siku 1 ikapitiliza hadi fera madogo walirudi kwa miguu umbali wa 30km from town

ha ha haa!

kukimbizana na Train Ticket Inspect ama sio. Muda wote wa safari vijana hawaondoki Bar ya kwenye train. Watacheza karata michezo yote, kuanzia alba sitini mpaka last card. Halafu ubishi kila kona, kuanzia soka mpaka siasa. Kumbe hawana ticketi. Wakitishiwa kufukuzwa wananunua fanta. Hawa nao walichangia kuua shirika la reli aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom