Usafiri enzi zile Mwanza yetu

Usafiri enzi zile Mwanza yetu

Mimi mwenzenu nimesomea Buswelu ni mzaliwa wa kirumba. Nakumbuka wakati nasoma usafiri ulikuwa chai maharage canter.kutoka kirumba mpaka national ilikuwa unafika ukiwa umejaa vumbi. Uniform haitamaniki.
Mi Buswelu pia , kwa ma - bush - runners

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaaa....!!
ha ha haa!

kukimbizana na Train Ticket Inspect ama sio. Muda wote wa safari vijana hawaondoki Bar ya kwenye train. Watacheza karata michezo yote, kuanzia alba sitini mpaka last card. Halafu ubishi kila kona, kuanzia soka mpaka siasa. Kumbe hawana ticketi. Wakitishiwa kufukuzwa wananunua fanta. Hawa nao walichangia kuua shirika la reli aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabasi km Amini Mungu safarini, Mwadeco, Trans Africa bus service etc ndo mabasi yetu enzi zile.
Pale kilipo kiwanda cha cocacola palikuwa na bwawa kubwa la kunyeshea ng'ombe huku tukicheza mpira wa madaso pale mnadani.
Duh! Kitambo sana. *Amini Mungu Safrini* na mtanange wa kibiashara kati ya *Trans Africa Bus Service vs Tanganyika Bus Service* !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom