Mwenge umesoma enzi zipi, Unamfahamu mwalimu mlagili, mama wa kikurya?
Mkuu enzi hizo mtu kuwa na Kamera ilikuwa issue kupita kiasi. Picha tulikuwa tunapiga studio tu. Halafu pale stendi mjini kulikuwa na kituo cha Polisi na mkuu wa kituo alikuwa anaitwa Kalori, Mzee mmoja mweupe amejaza halafu kapanda juu. Huyu alikuwa anawajua vibaka/vijana wa pick pocket wote. Akimwona mmoja akimwangalia jicho tu inabidi huyo kibaka akimbie kama hana akili nzuri. Mwanza enzi hixo. Mimi nilisoma Mwanza Secondari.
Tiba
Jirani na kwa Sadoti pale kulikuwa kuna mwehu anaitwa mchelechele ndo alikuwa analala chini ya mti.
"Mafyele" mtoto wake huyo, mume wa Mwalimu "Bunango" Mwalimu mnoko sanaaaaaaaa
Mlio soma Isenga s/msingi vidole juu. niliyo yafanya utotoni niliokota mabox ya viatu ili kutengenezra gari, nimeuza fagio za ndani, nimeokota dagaa, ndozi na kumwagilia ndizi mwaloni Kirumba, nimeuza karanga,dengu,bajia,vitumbua, vibaragala, maandazi, nimeuza ngio za wahindi kabura ya machinga kuwepo Mwanza, nimeponda kokoto na kuzisomba kwa kichwa kutoka mlima wa papa kuzisogeza barabarani mchongomani. etisasa nami naeshimika ktk jamii? kweli Mungu acha aitwe Mungu.
Subisubi- Mwaloni-mjini/stand ya taxi.
Simba mtoto- Mkuyuni- stand ya Tanganyika
Wadau wa rock city enzi zile mnakumbuka Mwanza hapakuwa na usafiri wa vipanya kama leo. Vipanya vilikuwa Mabatini na Kirumba tu lakini Igombe kulikuwa na min bus zikiitwa Toto Tundu, Mayeji na Jalijalalam, Igoma kulikuwa na Last Boy na Mkuyuni air Jordan.
Wito studio pale mjini na Gilia studio mtaa wa rufiji
Kumbe nyie wote mliotoa comment mpaka sasa hivi ni wa juzi tu. Miaka ile ilikuwa hakuna cha minibus wala nini. Tulikuwa tunapanda zile peugeot za kizamani mnarundikwa kama ndizi humu. Station wagon moja ilikuwa inaweza kubeba hadi abiria 8. Zilipotoka hizo ndio zikaja express. I love Mwanza mji niliokulia.
Tiba
Wadau wa rock city enzi zile mnakumbuka Mwanza hapakuwa na usafiri wa vipanya kama leo. Vipanya vilikuwa Mabatini na Kirumba tu lakini Igombe kulikuwa na min bus zikiitwa Toto Tundu, Mayeji na Jalijalalam, Igoma kulikuwa na Last Boy na Mkuyuni air Jordan.
Yap kumbe wewe unaijua Mwanza ya enzi hizo vizuri. Halafu eti mtu anataka tuweke picha, tupate wapi kama picha zenyewe mpaka ujiapake poda na kwenda kujipanga studio!!!!
Tiba
Nyegezi,ILOVE MANORI.
Jirani na kwa Sadoti pale kulikuwa kuna mwehu anaitwa mchelechele ndo alikuwa analala chini ya mti.
wewe ni wajuzi hupaswi kusema enzihizo. magari ya kwenda Igombe yalikuwa aina ya Combi,Randrover, mabasi yalikuwa ni Subira na Dakiki yaliyokuwa yakienda mpaka Kayenze
Wito studio pale mjini na Gilia studio mtaa wa rufiji
Jirani na kwa Sadoti pale kulikuwa kuna mwehu anaitwa mchelechele ndo alikuwa analala chini ya mti.