Usafiri enzi zile Mwanza yetu

Usafiri enzi zile Mwanza yetu

Nani alipanda basi la mdundiko na machimukenda, express za kugombania ukishindwa sana unaanza mdogo mdogo town hadi nyamanoro, hadi ufike umepaukaaaa, kweli mwanza imetoka mwanza

Ningeshangaa kutokuonekana kwenye huu uzi...Mwanza Mwanza
 
Mwanza ndo home bana, afadhali upande huu wa pasiansi kulikuwa na magari, sasa ukute una trip ya kwenda butimba ttc au nyegezi social(saut) ya leo utajuta
 
Nimepanda magari ya Sadoti enzi hizo dereva akiwa 'kaka Mafyale'.. bahati mbaya sana huyu mzee alifilisika vibaya na kwa sasa amezeeka kweli.

Kuna express moja ilikuwa inapiga route za Mwaloni - mjini inaitwa MAJIRA...

ahahahahhh, duh umenikumbusha mbali aisee, mmiliki wa majira tulikuwa tunaishi nae jirani mtaa wa azimio. Mmoja wa watoto wa sadoti alimuoa mwalimu wangu wa hesabu enzi hizo mwenge primary, basi mwalimu alikuwa anajidai huyo babamkwe ana express
 
mambo mpango ..coaster hiyo enzi hizo ilionekana gari ya maana sana

Nakumbuka coaster zilivyoanza, zilikuwepo coaster za kwenda pasiansi ziliitwa Mayeji, ilikuwepo mayeji 1 hadi mayeji four, watoto wa mwanza seco wakaachana kabisa na habari ya chai maharage
 
Digidigi zilikuwa zinafanya service kabla na baada ya safari mitaa ya Nera (home place) pale.

nimefungua thread kwa shangwe nikafikiri umeweka picha za treni.
jana nimefurahije Pinda kuturekebishia reli ya Dar-Mwanza. Raha sana kusafiri na treni.

back to topic: ok i dont know what u guys are talking about

Hiyo treni unayosema hg, usiombe kusafiri na daraja la 3 maarufu kama sogea tukae, unaweza kulia
 
Nakumbuka coaster zilivyoanza, zilikuwepo coaster za kwenda pasiansi ziliitwa Mayeji, ilikuwepo mayeji 1 hadi mayeji four, watoto wa mwanza seco wakaachana kabisa na habari ya chai maharage

Mwanza seco unanikumbusha ghuba na vulumai zake na mwalimu kinshuli
 
kumbe umepita pale mkuu, chezea wali na sangara/maharage, kinshuli yupo bana juzi tu ijumaa nimemuona town kachoka kweli mwalimu wetu, namtafuta mwalimu mafuru jamani sijui yuko wapi huyu. Unakumbuka mihogo ya mama Jamila?
 
Mwalimu mafuru mzee wa history.. mihogo ya mama jamila kweli wewe wa enzi zetu.Wali sangara ilikuwa sangara kweli..majonzi yalikuja siku headmaster kitereja alipotangaza wataanza kupika ugali badala ya wali:A S wink:
 
Hata ngunga watu walikuwa wanagombinia tu, zile sangara zilikuwa tamu ati. Headmaster wetu kiteleja alikuwa mpole jamani, RIP Mr Benjamini Kitereja
 
Nani alipanda basi la mdundiko na machimukenda, express za kugombania ukishindwa sana unaanza mdogo mdogo town hadi nyamanoro, hadi ufike umepaukaaaa, kweli mwanza imetoka mwanza
Unapotaja Nyamanoro unanikumbusha vitu vingi sana! Enzi hizo pale Seleman Nassoro vijana wanakaa na makoleo na majembe kufukia mashimo barabarani kisha kurushiwa shilingi tano na makonda km mchango wa kurekebisha barabara.
 
Hiyo treni unayosema hg, usiombe kusafiri na daraja la 3 maarufu kama sogea tukae, unaweza kulia

haha. kwani wanakaa watu wangapi?
mimi nilikuwa natumia "vyumba", sijui kukoje huko kwingine.
 
Idimulwa na yule TK vipi bado yupogo? Dah nimepa miss QSS tulipokuwa tunasafishia picha.
 
Last edited by a moderator:
Chizi Fureshi TK hawapo ila QSS wapo,japo walisha hama ile mitaa ya Mwanza Hotel...Mwanza Mwanza...Fid Q=CHADEMA
 
Tk chai maharage toka kauma mpaka mkuyuni,then kwa mguu mpaka butimba au nsumba
 
ahahahahhh, duh umenikumbusha mbali aisee, mmiliki wa majira tulikuwa tunaishi nae jirani mtaa wa azimio. Mmoja wa watoto wa sadoti alimuoa mwalimu wangu wa hesabu enzi hizo mwenge primary, basi mwalimu alikuwa anajidai huyo babamkwe ana express

Ooh atakuwa kaka Mafele maana ndo alioa mwalimu.. nakumbuka harusi ilikuwa CCM Kirumba miongoni mwa wavaa sare alikuwepo mama yangu.... Miaka hiyo Sadoti alikuwa Sadoti kweli yaani (kuanzia mjini kila mtu alimfahamu)ukipata mgeni unamwambia wewe ulizia kwa Sadoti ukifika hapo basi ulizia mama fulani utafika.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Umeona eeh...! Hivi hiyo familia ya mzee sadoti bado wako hapo kirumba sokoni?

Ndio bado wako hapo ingawaje kuna watoto wake wawili wa kike walifariki na mjukuu wake wa kike.
Inaelekea tunafahamiana maana enzi hizo sisi tulikuwa tunaishi jirani kabisa na mzee Sadoti.
 
inawezekana mamiii, hebu kesho tukutane PM nitakapokuwa kwenye pc
 
Ndio bado wako hapo ingawaje kuna watoto wake wawili wa kike walifariki na mjukuu wake wa kike.
Inaelekea tunafahamiana maana enzi hizo sisi tulikuwa tunaishi jirani kabisa na mzee Sadoti.

Umekulia kirumba ipi mimi nimekulia hpo jirani na moonlight hotel kabla haijajengwa kulikua mashamba y mpunga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom