tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Kashekulu alikuwa na hoteli na kuja karibu na nganza sec,tulikuwa tunatoroka kwenda hapo,kununua mkate na juice
Kashekulo yupo ana canteen saut na hostel
Kashekulu alikuwa na hoteli na kuja karibu na nganza sec,tulikuwa tunatoroka kwenda hapo,kununua mkate na juice
Mashine ya kusaga Pasiansi na nyananoro ilikuwa nyamanoro kwenye mashine ya maji,aliyekuwa anasaga aliitwa Mashauli, ikiharibika mnachapa lapa maka Kirimba au Sahara kata ya Pamba
Huwezi amini, mchelemchele yupo hadi leo, siku hizi kahamishia makazi kiseke
Mmmh mwaka gani huo?Umeona eeh! Sie tulikuwa tunasagia kirumba, unapeleka mzigo leo, kesho yake ndio unaenda kuchukua unga
Umeona eeh! Sie tulikuwa tunasagia kirumba, unapeleka mzigo leo, kesho yake ndio unaenda kuchukua unga
unamuulizia mazigo yupi? prosper mazigo au?
Nyegezi,ILOVE MANORI.
Huo sijui mwaka gani unouongelea, lakini nnajuwa aliyekuwa mwanzilishi wa basi za mjini Mwanza alianza kibasi kimoja tu kinaitwa Wahiwahi mwaka 1973 ilikuwa Nissan Bus ya passenger 24 na 1974 ikaongezeka ya pili Bus Leyland 52 passengers zikienda Igoma, 1974 ndio zikaanza kuongezeka za watu wengine. Siku hizo gari zilikuwa nyang'anyang'a mpya zilikuwa ni hizo za Wahiwahi tu.
Sijui kama ulikuwa umeshazaliwa wakati huo.
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Wakati mwingine tulitembea mpaka,nyegezi kilimo
Kashekulo alikuwa mwalimu pale MATI Nyegezi wakati huo!Kashekulu alikuwa na hoteli na kuja karibu na nganza sec,tulikuwa tunatoroka kwenda hapo,kununua mkate na juice
Je Arshas club pale mtaa wa ribert bado mnaikumbuka?
Acha aisee
mchelemchele bado yupo? mi alivyopotea nikajua kaelekea njia kuu.
We ram kama ulikuwa unakaa muelekeo wa Pasiansi kwa nini uende hadi kirumba badala ya kwenda kwenye mashine ya mama John maeneo ya Kariakoo kubwa?
Ndugu mashine za kariakoo kubwa zilianza kama sikosei miaka ya tisini, hapa naongelea miaka ya 86, 85 kurudi nyuma