Magafu jr..
Member
- Dec 3, 2015
- 10
- 4
Dabo H, kauma ya zamani to mkuyini butimba kona walitisha sn bila kusahau teketeke na rasta..
Hata wewe wa juzi enzi zetu tulitembea kwa miguuu duka lilikuwa mojaHahaha
Wasukuma kiboko ndo maaana hakuna raisi mbembewasukuma mtaacha lini ushamba sijui.mpaka leo daladala halina muziki hawapandi
Umenichekesha sana hapo pa kuchunguliahalafu ikaja system hizo express za pasiansi ilikuwa mwenye gari lazima aweke video maana kama hamna video watu wanachungulia tu hawapandi,
Ha ha ha haKahtan na mtemi isike ni mtu mmoja? Kwa hiyo ukawa unajiuliza kwa ID tofauti?
halafu ikaja system hizo express za pasiansi ilikuwa mwenye gari lazima aweke video maana kama hamna video watu wanachungulia tu hawapandi,
Unataka wakudukue kinyanga mzeewasukuma mtaacha lini ushamba sijui.mpaka leo daladala halina muziki hawapandi
Unawawaza mzee walishaku.... nnKumbe Wasukuma ni washamba toka siku nyingi!!!
Umesahau chai maharage ? Town Igoma . Kulikuwa na bus Isuzu injection linaitwa KidendaKumbe nyie wote mliotoa comment mpaka sasa hivi ni wa juzi tu. Miaka ile ilikuwa hakuna cha minibus wala nini. Tulikuwa tunapanda zile peugeot za kizamani mnarundikwa kama ndizi humu. Station wagon moja ilikuwa inaweza kubeba hadi abiria 8. Zilipotoka hizo ndio zikaja express. I love Mwanza mji niliokulia.
Tiba
Mkuu utakuwa age met wangu . Nimepanda sana air Jordan wakati nasoma Ziwani Sec ilikuwa pale Butimba Chuo cha UalimuWadau wa rock city enzi zile mnakumbuka Mwanza hapakuwa na usafiri wa vipanya kama leo. Vipanya vilikuwa Mabatini na Kirumba tu lakini Igombe kulikuwa na min bus zikiitwa Toto Tundu, Mayeji na Jalijalalam, Igoma kulikuwa na Last Boy na Mkuyuni air Jordan.
Hizi zilikua zinapaki NERA mwenye nazo alikuwa mwarabu aliitwa Mzee Slem,baba Sabri,Afidhi na Ummy, tingo aliitwa JARUODigidigi mza -igombe
igogo haiendelei mzee sasa hakuna ukumbi tena wa burudani wala kikundi cha muziki ukumbi wa jitegemee ulishajiishia siku nyingi
Enzi hizo ukienda na demu mkali lazima Matata akupore,sasa hivi ni Mheshimiwa Diwani.
Uko safiMAGNUM ilianzia Pasiansi ilipo Bar ya B.O.T ,ndipo akaja kuhamia Kirumba, Dj wa kwanza aliitwa Bush dct
Aisee! Kumbe ugaidi huwa hauishi hata kama utazeeka yaani unazeeka nao, hili jamaa mika hiyo lilikuwa gaidi sana lakini naona mpaka leo linaendelea kuwa gaidi!