Mi nadhani sababu ni moja tu, kwamba sio wa tz wengi wamekuwa wanacheza hii Lottery. ndio maana namba yetu ya washindi sio nzuri. na hii imesababishwa na mambo mengi, 1. Upatikanji wa taarifa ya kwamba lini inachezwa, 2. mbili ni huko kutishana ya kwamba ni lazima upite kwa agent na umlipe usd 50. Suala la picha nalo, nilijaribu kuuliza kupiga hiyo picha kwa qulity inayotakiwa kwenye studio moja pale Mwanza, Nyerere Rd. mtoto wa kihindi akaniambia ni 50,000 per person. nikaja Dar pale Zanaki nikapiga kwa 5,000 tu per person.
Normally applications zinapokelwa kuanzia Oct mpaka Dec every year, so lets spread the infos, so watanzania wengi wacheze. The minimum Education required is high school, Its so easy to play once you have the required photo.
Thank a million times janjaman, i have some few questions to add
- Kwanza kabla ya yote hiyo web page kwangu imekataa kufunguka
- Malipo ya safari, DAR to NY nani atalipa
- Malipo ya visa nani atalipa
- Je nikifika huko kama mimi ni high level education, napata kazi, na inachukua mda gani, na ninafanyaje mpaka niipate kazi.
-Malipo ya nyumba, transport za hapa na pale nani analipa
-Mfano nilikuwa nafanya kazi Dar tuseme eg. Care International kama miaka sita, je wanatambua hili na kunipa kazi equivalent na hiyo.
- Je, nikitaka kujiendeleza naweza kupata sponsor au najisomesha mwenyewe.
-Je, kuna allowances zozote mtu hupata kutoka kwa hao watu wanaoendesha hiyo green card lottery.
-Nina familia mume na watoto ambao ni wa mume, je niipatapo mambo yanakwenda vipi. Au ni watu wepi naruhusiwa kuongozana nao huko Amerika.
Natumaini, haya yatakuwa ni badhii tuu ya maswali ambayo mtanzania yeyote mwenye kupenda maendeleo kama mimi atakuwa akijiiuliza na kupenda kuyajua. Asanteni sana.