US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Kheee!!! Icadon, YNIM, Koba, Susu....mko wapi leo?

Kitila kaka njoo bana tupige stori kwani mambo leo bien!

Nipo babu, dah!! Congrats kwa McCain, amesema nini cha kusisimua kwenye hotuba yake?

Truthful speaking hizi siku mbili nimekosa kabisa hamu ya kufuatilia siasa..Ngoja nicheck results.
 
Aaaah kaka McCain huwa hasisimui kama Obama....ila jamaa yuko humble na confident sana...

Unachosema kweli kaka...hata mimi nshaanza kuboreka...maana kila siku healthcare..nafta...experience....wakati superbowl iko miezi 8 mbele...I feel you man...
 
....congratulation to mama,lakini TX will be in our column na ndio mwisho wake!
 
Nyani,

Hongera bwana naona Mama anachukua 3-1 leo! Well nafikiri hata kama Mjaluo ana kura nyingi za delegates, kuokoa chama kisivunjike inabidi ajitoe na kumwacha Mama aendelee kugombea cheo kwa nguvu na mishipa yote!

Kwa mkao huo, nyie Tembo mtachukua Urais November na Hillary atakumbukwa rasmi kama mgombea aliyetaka kukigawa chama!
 
Hahahaaaa....don't hate man...congratulate
 
Clinton anashangilia ushindi wa Ohio kama hana akili nzuri vile--its almost hakuutegemea, lakini TX, TX si yake....
 
Hahahaaaa....don't hate man...congratulate

Nyani ndo naamka nakuta Mama anasherekea! Hongera Nyani, I hope at least for now you put on hold your plans to vote for McCain maana nilishaanza kusikitika. Keep the faith, Nyani, Mama naona has come back fighting. Naomba nisikuharibie leo mood, tutaendelea na mjadala later in the day what this means bt for now CONGRATS!🙂
 
....congratulation to mama,lakini TX will be in our column na ndio mwisho wake!

Hata mseme vipi mimi namzimia sana huyu Mama. Ana tenacity ambayo watu wengi hatuna. Her grit is bona fide.
 
Nyani ndo naamka nakuta Mama anasherekea! Hongera Nyani, I hope at least for now you put on hold your plans to vote for McCain maana nilishaanza kusikitika. Keep the faith, Nyani, Mama naona has come back fighting. Naomba nisikuharibie leo mood, tutaendelea na mjadala later in the day what this means bt for now CONGRATS!🙂

Asante bwana! Mimi ninachopinga au kinachoniudhi ni Clinton haters hasa wale washabiki wa Obama wanaom-bash Mama utadhani ni muuaji. It gets on my last nerve and I can't stand that.

But still....if my girl doesn't get it I'm switching camps.

Hahahahaha....meet us in PA......
 
Maaan...I'm listening to Obama's speech and it's boring as hell....
He's too long winded for me...
 
Kheee!!! Icadon, YNIM, Koba, Susu....mko wapi leo?

Kitila kaka njoo bana tupige stori kwani mambo leo bien!

Kaka ndio nimeamka hapa saa ndio saa 10.45 asubuhi, ndio nakutana na hii kitu: CNN projects Clinton wins key state of Ohio

Sasa unafiri mimi nina cha kusema tena zaidi kucheka tu hapa, acha kabisa!
 
Hata mseme vipi mimi namzimia sana huyu Mama. Ana tenacity ambayo watu wengi hatuna. Her grit is bona fide.

Mzee Nyani Congrats...........na Congrats to Mama pia............naona hata Texas atachukua tu huyu Mama!!....si mchezo
 
Hey Ogah...what do you think motivates Mama...? You guessed it...it's the haters...hahahahahahaaaa.....
 
Kaka ndio nimeamka hapa saa ndio saa 10.45 asubuhi, ndio nakutana na hii kitu: CNN projects Clinton wins key state of Ohio

Sasa unafiri mimi nina cha kusema tena zaidi kucheka tu hapa, acha kabisa!

Hapa nilipo hata usingizi sina tena...
 
Mzee Nyani Congrats...........na Congrats to Mama pia............naona hata Texas atachukua tu huyu Mama!!....si mchezo

Small chance. Hawezi kuchukua TX, kwasababu ukiangalia the counties anazo-win Clinton, ni ones zina very small population, na anamzidi Obama in very small margin--In the the meantime, Obama ana win all places kwenye population kubwa,so far ana-lead Houston, Dallas and even Austin...
 
Sisi mambo ya kutabiri sasa tumeshaachana nayo, tunasubiri tu mambo ya halisi na halisia basi, haya mengine tunawaachia.
 
Back
Top Bottom