Masanja, Obama ameshinda small states, ambazo nyingine always goes Red (Republican) hiyo ndio argument ya Mama Clinton. Obama is a strong candidate, sema mama amepush hard kuhusu scandal ya Obama's adviser kuongea na Canada government concern NAFTA, vile vile mama alipotoa ile Ad ya 3:00am ambayo imetumika 1960's and sometime 1970's, hii ni special kuonyesha kwamba McCain will always run kuhusu national security.
Kwa swala la National Security, Sen Obama hana strong argument, sababu speech is different na kuvote kama mama alivyokuwa akidai. Politics ni dirty game, na Clinton machine ni balaa, kingine ni STUPIDY ECONOMY, Sen.Obama hana experience ya kurun anything, hawa The Clinton wanakuja na idea ya buy one get one free kwenye swala la economy and national security.
Guys, leo ni bad night kwa sen.Obama, The Clinton wata rise more money, watakuja na strong power. I don't know what strategy Sen.Obama will come with kushinda Penny state.