US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Naona Jaluo kaongezewa walinzi, kazi kweli kweli....ebu linganisha na wa mama

306880572.jpg

306880576.jpg

306880570.jpg

306880563.jpg

306880567.jpg

306880561.jpg

306880560.jpg

306880555.jpg

306880576.jpg

Hillary Clinton
306880574.jpg

306880557.jpg
 
Kwa hiyo sasa, ndio kusema....

Ngoja kesho O apigwe bao Ohio na TX halafu tuone mtakuja na story gani tena!
 
..natabiri ushindi wa Obama dhidi ya McCain utakuwa mkubwa kama ule wa Ronald Reagan dhidi ya Mondale.
 
Nyani, mi nilishasema wiki kadhaa zilizopita, wewe deep down unapenda Obama ashinde lakini you hate to be on the loosing side, lakini naomba uachane na GOP ni watu wabaya sana - after 8 years of Bush hakuna haja ya kukupa facts kwani ni dhahiri. Karibu Obama camp, nina uhakika atakuwa inaugurated.

Niambie mabaya ya GOP...naomba uyaorodheshe hapa...pamoja na mazuri ya Democrats, tafadhali.
 
..natabiri ushindi wa Obama dhidi ya McCain utakuwa mkubwa kama ule wa Ronald Reagan dhidi ya Mondale.

Wewe nawe umeanza kudata...Reagan alishinda states 49 kati ya 50. Unataka kuniambia states atayoshinda McCain ni Arizona tu..? Kama hizi ndio argument zenu mi nitaacha kuchangia hapa hadi uchaguzi uishe...
 
...that will be good!
 
Nyani juzi mlinichallenge nikawamwagia hapa data kuhusu achievement za Obama, ukaniambia umehama kambi, sasa unaniuliza ya GOP? Ngoja niende kusomba data, nikirudi naomba tuendelee na hoja kwa hoja.

Game Theory, Koba and all Obama supporters, naomba mtembelee hii website na muongeze majina yenu popote mlipo, mi shajitundika kama Obama supporter worldwide.
http://www.obamaworldwide.com/SupporterMap.aspx
 
Hivyo vi-bill vilikuwa insignificant mno hata kuvijadili. Hata yeye mwenyewe Obama havitambii sasa iweje nipoteze muda wangu kuvijadili hapa. Vingekuwa significant si ungekuwa umeshawasikia wakitamba...?
 
I believe you just read the media hype and condensed news about Obama, but I would encourage you kufuatilia zaidi before you make sweeping statements. Obama ametambia sana achievements zake including hiyo ya nuclear proliferation, hiyo ya healthcare especially lead, etc.
Your excuse is weak because badala ya kuleta hoja ya maana unasema they are insignificant wakati nimekuwekea my arguments and also legislation to back it up. I wish you would concede on that point and move on badala ya kuclinging to straw theories. Unaomba arguments alafu you dismiss them. Sasa unaomba maelezo ya nini? nikikupa ubaya wa GOP si utaleta longolongo tena? What guarantees are there kwamba after respecting your call for hoja and investing my time to build arguments, you will not dismiss it again with a sweeping statement? Hmmm! Well mtu ukikosa hoja unaleta vioja!
 
Okay, sasa tujadili huo ubaya wa GOP. Swali moja na rahisi tu; kama GOP kwa mtazamo wa walio wengi ni wabaya hivyo inakuwaje wameweza ku-dominate presidential politics..? Yaani watu mamilioni na mamilioni wanaowapigia kura unataka kuniambia ni vipofu na hawayaoni mabaya yao? Senate imegawanyika karibu nusu nusu...how come if they are so bad/ evil?

Kuna tofauti za kifalsafa kati ya vyama hivi viwili na kusema eti GOP ni majitu mabaya sana wakati kila siku yana-dominate haku-make sense yoyote ile ndugu yangu wewe. Angalia hata states ambazo GOP walishinda....katika chaguzi mbili zilizopita. Kama Democrats wangekuwa wazuri kama unavyotaka niamini si wangeshidha majority ya majimbo....au unataka kuniambia hao watu wote katika hayo majimbo hawajui walitendalo wanapowapigia kura GOP.....

Mwaga data zako tuzijadili....sio kusema eti ni majitu mabaya wakati hali halisi inaonyesha kinyume chake miaka nenda rudi..
 
Sawa Nyani, niko bado katika kupanga data na arguments zangu lakini I would like to set the record straight: sikusema GOP ni majitu mabaya. Nimesema ni wabaya. Pia nimesema GOP kama chama, siyo wapiga kura wake au watu waliowapigia kura maana kumbuka Reagan alipigiwa kura na some democrats also Dubya alipigiwa kura na independents. So I am talking about GOP as party. Naomba tutofautishe.
Arguments zangu nitazipost baadaye maana nimebanwa leo na time. But within 24 hours nitarespond. Asante, ndugu yangu.
 
Okay, I'm looking forward to that debate...have a wonderful day!
 
Nasubiri hiyo usiku tutakapojua mambo juu ya mambo; instincts zangu zinaniambie this will be a good day for HRC.

Naona media wameshaanza kum-scrutinize Obama, kumbe jamaa ana vijimambo vya ajabuajabu kibao!
 
Nakwambia jamaa ana vioja...we acha tu...
 
Back
Top Bottom