US Election Coverage 2008

Dont fool urself, Americans arent ready for Rais M-matumbi mwenye arabic middle name Hussein na Baba Mkenya. Hata huyo mvaa sketi nae msindikizaji tu....

Dont get me wrong I would love Obama to win not because he is african/american rather bcoz he is smartest and capable candidate. But its very unfortunate the afore-mentioned things will prove to b difficult to overcome.
Miaka inakwenda kasi mno
 
Hizi zimeshageuka siasa; zinaanza kutumiwa kukatisha wengine tamaa na ku-boost morale ya wengine. lakini ukweli wa mambo ya kura ni hadi pale mpiga kura anapotumbukiza kura yake. Na kwa sisi Africa hadi pale Tume ya Uchaguzi itakapoamua kumtangaza wanaomtaka au walioagizwa wamtangaze!
Shikamoo Mheshimiwa. Kumbe wa siku nyingi sana humu.
 
Naona na leo pia mume wa Hillary Choked-ham Clinton, Pres. Bill Playboy Clinton nae kajifanya kuwa emotional. Hizi political stunts zao kutuletea emotion za kuchi kuch hotahe zinaboa sasa. Tumsubiri Chelsea Clinton nae atoe chozi LIVE hahahaha.
Hahahaha eti "Choked-ham"
 
Jeb wakati wake ulikuwa huu, miaka nane ijayo atakuwa na miaka 62 na atakuwa amekaa sana nje ya ulingo wa siasa ila huwezi kujua kila kitu kinawezekana kwenye siasa.
Na baada ya hiyo miaka 8, alijaribu kweli ila alishindwa. Donald Trump na Ted Cruz walikuwa wanakimbiza balaa. Ila mwisho kinyume na matarajio ya wengi Trump ndio akashinda nomination ya Republican.
 
Back
Top Bottom