US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Under Dog amekuwa upper Dog, mtu aliyekuwa anaonekana kuwa msindikizaji sasa hivi anaonekana kuwa HRC anamuwekea vikwazo, what a big turn. Clinton kwenye debate zote amekuwa anachemsha, sitegemei lolote jipya kwenye debate mpya. Kila mara amekuwa akisema meet me in Ohio, or meet me kule lakini akifika anaanza kujitetea na kimlaani Obama, naona anaona wazi kuwa hata u VP hata pata. Naona hiyo hybrid ya Causcus /Primary ndio itamliza. Lakini mungu anaweza kumsaidia.....
 
Under Dog amekuwa upper Dog, mtu aliyekuwa anaonekana kuwa msindikizaji sasa hivi anaonekana kuwa HRC anamuwekea vikwazo, what a big turn. Clinton kwenye debate zote amekuwa anachemsha, sitegemei lolote jipya kwenye debate mpya. Kila mara amekuwa akisema meet me in Ohio, or meet me kule lakini akifika anaanza kujitetea na kimlaani Obama, naona anaona wazi kuwa hata u VP hata pata. Naona hiyo hybrid ya Causcus /Primary ndio itamliza. Lakini mungu anaweza kumsaidia.....


mambo yanaendaje hadi sasa? matokeo bado hayajaanza kutolewa?
 
Nasubiri hiyo usiku tutakapojua mambo juu ya mambo; instincts zangu zinaniambie this will be a good day for HRC.

Naona media wameshaanza kum-scrutinize Obama, kumbe jamaa ana vijimambo vya ajabuajabu kibao!

Ebanae mie mwenyewe hapa I have a bad feeling kuhusiana na leo lol...on top of that nimeshalose interest the whole thing ishakuwa boring sasa.

Few hours from now Pundits kwenye kila media watakuwa wanazungumzia jinsi Obama alivyojiweka kwenye nafasi nzuri ya nzuri ya kupitishwa na chama chake au jinsi mama alivyoweza kunusurika na kuiongezea kampeni yake uhai na ataendelea.
 
Nakwambia leo silali hapa nitakuwa nakula hii JF bongo flavour hadi CNN watakapoleta vitu hapa ili tukate mzizi wa fitina maana hizi kelele za Obamaniacs zimetuchosha sasa!
 
Leo naanza beer mapema kabisa,najua mama atashinda Rhode na Ohio lakini Texas na Vermont asahau,delegate tutagawana au tutamzidi ....sasa shauri aamue kwenda mbele au awe Huckabee mwingine,leo mama reality ina kick in na ataconcede this week!
 
Leo naanza beer mapema kabisa,najua mama atashinda Rhode na Ohio lakini Texas na Vermont asahau,delegate tutagawana au tutamzidi ....sasa shauri aamue kwenda mbele au awe Huckabee mwingine,leo mama reality ina kick in na ataconcede this week!

Duh kumbe na wewe mzee wa ulabu eeh..? Mwenzako yuko wapi...au keshatangulia klabuni....maana yeye na mipombe michafu tu hajambo...lol
 
Kwa kweli leo unapashwa kuwa mwanzo na mwisho wa Hillary, ukweli ni kwamba time ya kina Clinton, imefika mwisho nashangaa the political genius Bill hakuliona hili mapema, zile enzi zao za 90s tayari zimeisha,

I supported Hillary, lakini kama hawezi kumshinda Jaluo tu, atamuweza vipi Makeni? Hesabu zote za kisiasa zinakataa kabisa Hillary, kumshinda Jaluo at this time, hata pamoja na uchaguzi wa leo, anahitaji kumshinda Jaluo kwa points angalau 20, kitu ambacho ni impossible, time is on Jaluo's side,

Ninampenda mama, lakini ni lazima kwenda na ukweli usiopingika kuwa leo unapaswa kuwa ndio mwisho wa mama Hillary, good try, lakini wananchi wengi huko US, sio siri kuwa wanataka kuwa on the side of history in making, na mimi pia, Go Jaluo! Go!.
 
Kwa kweli leo unapashwa kuwa mwanzo na mwisho wa Hillary, ukweli ni kwamba time ya kina Clinton, imefika mwisho nashangaa the political genius Bill hakuliona hili mapema, zile enzi zao za 90s tayari zimeisha,

I supported Hillary, lakini kama hawezi kumshinda Jaluo tu, atamuweza vipi Makeni? Hesabu zote za kisiasa zinakataa kabisa Hillary, kumshinda Jaluo at this time, hata pamoja na uchaguzi wa leo, anahitaji kumshinda Jaluo kwa points angalau 20, kitu ambacho ni impossible, time is on Jaluo's side,

Ninampenda mama, lakini ni lazima kwenda na ukweli usiopingika kuwa leo unapaswa kuwa ndio mwisho wa mama Hillary, good try, lakini wananchi wengi huko US, sio siri kuwa wanataka kuwa on the side of history in making, na mimi pia, Go Jaluo! Go!.

Mzee hii race ndio inaanza, mama amesema "I have just been warmed up". Mimi ni king'ang'anizi, katika hili nasubiri hadi mwisho. Napenda sana ushindi wa kuuhangaikia, naamini kwa mahangaiko aliyoyapitia atakwenda mbele. Just few hours from now, my next post tutakuwa tunaongea lugha ingine kabisa. Najua pundits watakuja na lugha ya ooh, kashinda kidogo sana, doesn't make a difference, lakini common, kinachotakiwa hapa ni momentum maana hakuna kati yao mwenye uwezo wa kupata wale delegates 2000 na ushee..Mimi bado nasema Go mama, Go US Iron Lady, Go tested and tried lady ready to be commander in chief on day one. Sasa kama watu mnaanza kuleta mambo ya CCM ya kusema eti hii ilikuwa lugha ya kampeni tu wala hatubadilisha hiyo NAFTA, sasa tutawaaminije bwana, yaani tunaanza kuleta mambo ya uswahili tena hata huko majuu..hii soo bwana..
 
Mkuu Kitila,

Wewe nakuaminia sasa na wewe unaanza kulilia theory za Warioba kuwa rais, ili afanye nini alichoshindwa akiwa PM? Hawa kina Clinton, 8 years madarakani, ili warudi Ikulu kufanya nini ambacho hawakufanya kwenye zile 8 years? Hivi kweli Wamarekani ni lazima waongozwe na mtu na mkewe tu?

Mkuu wangu mimi sipendi ushabiki wa Yanga na Simba, lakini hata mama akiendelea haitamsaidia anything kwa sababu sasa ataishia kuwaudhi na kuwagawa democrats, kila kitu na wakati wake, huu ni wakati wa change of history mkuu, majimbo Jaluo 24 against 11? Popular vote Jaluo kura millioni moja zaidi?

I mean mkuu wangu njooo tujiunge na history in a making mkuu, huyu mama ameshindwa tu hata kujiwekea organization nzito ya kampeni, sasa ataweza vipi kuongoza the mighty USA? Sasa mpaka marafiki wa karibu wa Clinton kina Bill Richardson, wameshaanza kuomba ajitoe unafikiri wameona nini hao mkuu?

Tunasema, ilikuwa good try, lakini finally kila shetani na mbuyu wake, this time the Clinton, kwa Jaluo ni maji mazito, wajitoe tuendeee na Makeni sasa, I mean I stll beleive, lakini mkuu lazima niseme ukwel;i kuwa sikujua kuwa Jaluo jina lake la kati ni Hussein! damn it man sijui huko mbele, Jaluo Hussein go!
 
...one down,Vermont in our column...go goo jaluo na bao ni 12-0 mpaka sasa!
 
He he duh, alafu tukirudi kwenye siasa za nyumbani tunapiga kelele tunataka Fresh faces,kwingine tunataka wazee waendelee kutawala...kazi kweli kweli
 
March 4, 2008
Obama and McCain Are Projected to Win Vermont
By JODI KANTOR and MICHAEL M. GRYNBAUM

Senator Barack Obama appeared poised to pick up his 12th straight victory over Senator Hillary Rodham Clinton in the Democratic nominating race on Tuesday as the television networks and The Associated Press projected that he would win the Vermont primary, the first of four contests on a potentially decisive night.

But attention remained focused on the contests in the delegate-rich states of Ohio and Texas, where Election Day polls showed Mr. Obama and Mrs. Clinton, locked in a tight race. They are also competing in Rhode Island.

While Mr. Obama is hoping to firm up his status as the front-runner, Mrs. Clinton faces a pressing need to win at least one of the bigger states, if not both of them to remain a viable nominee or risk a rapid drop-off of support within her party.

On the Republican side, Senator John McCain moved closer sealing his claim to his party's nomination as the networks and The A.P. projected that he won that party's primary in Vermont.

Voting officials in all four states marveled at the Democratic turnout. "Best I can tell it's a tsunami of voters," said Gerry Birnberg, chairman of the Harris County Democratic Party, which encompasses Houston and its environs. At some polling sites there, as many as 100 voters lined up before the polls opened at 7 a.m., Mr. Birnberg said.

An estimated 3.3 million Texans, a primary record, are expected to cast their ballots by the end of the day, according to state election officials. About 1.2 million Texans in the state's 15 most populous counties already took part in early voting, four times the previous high set in 2000. The large numbers could slow the reporting of results.

While the Mrs. Clinton projected confidence, the Obama campaign issued reminders of Mr. Clinton's earlier statements saying that Mrs. Clinton needed to win Texas and Ohio.

"Three weeks ago, when they led polls in Texas and Ohio by 20 points, the Clinton campaign set their own test for today's primaries," Bill Burton, a spokesman, said in an e-mail statement. He set expectations for his candidate's performance fairly low, saying only that Senator Barack Obama will maintain his delegate lead. Behind the scenes, leading Obama supporters of were working to persuade Democrats, particularly the superdelegates who could decide the nomination, to step forward and coalesce behind him as soon as Wednesday, according to Obama supporters and campaign officials.

"You know this is a long process," Mrs. Clinton told reporters Tuesday morning outside a polling place in Houston. "Never underestimate the intelligence of the voters," she said, referring to a recent ABC News/Washington Post poll in which voters expressed a preference for her campaign to continue if she wins either Ohio or Texas.

Her message was entirely different from the one delivered by former President Bill Clinton just a few weeks ago, when he told Ohio and Texas voters that his wife would not succeed without victories in those delegate-rich states.

But while the Obama campaign was issuing reminders about what Mr. Clinton said a few weeks ago, Mrs. Clinton reached back much further into the past, citing her husband's nomination victory in June 1992 as well as the long-lost days when parties chose candidates at summertime conventions. Her campaign is just hitting its stride, Mrs. Clinton said, even though she has been running for well over a year, in a race that has gone on longer than anyone expected.

"We're just beginning to draw those contrasts and those differences and that's when voters start to zero in," she said, expressing optimism despite 11 straight recent losses to Mr. Obama.

On a conference call with reporters, representatives from her campaign played up later contests particularly Pennsylvania's April 22 primary, where Mrs. Clinton is the early favorite.

A few months ago, today's voting was not expected to count much, thanks to a front-loaded calendar that was supposed to settle the nominations of both parties early. Faced with their unexpected responsibilities, some of Tuesday's Democratic voters struggled until the final possible moments with their choice.

At Canterbury Elementary School in Cleveland, Ohio, a graduate student at Case Western University said she had procrastinated until the very last minute, even dawdling of minor judicial selections in the voting booth. "I was filling out circles for random judges until I ran out of circles," she said.

In the end Mr. Obama got her vote, in part because the woman said she thought he would be more electable than Mrs. Clinton, and in part because of his stance against the conflict in Iraq.

mostly because of his stance against the conflict in Iraq. "Hillary voted for the war, and I know she says she regrets it, but I can't forgive her for that," said Ms. Pecora, an immunologist.

She added that the Obama presence in Cleveland has overshadowed that of Mrs. Clinton, who has fewer ads on television and fewer signs on front lawns. "Everywhere you look, it's Obama, Obama, Obama," she said.

Rasheda Thomas said she had finally made up her mind on the drive over to the same polling place. "It took a Clinton to clean up after the first Bush and it will take a Clinton to clean up after the second Bush," Asked if she had any qualms about not supporting Mr. Obama, Ms. Thomas, who is black, said, "I'm a woman first."

Meanwhile, as Mr. McCain campaigned Tuesday morning in San Antonio, he said that he hoped to win enough delegates to clinch the Republican nomination and force Mike Huckabee from the race. And he took a swipe at the Democratic candidates, implying that they were harsher in their criticism of Nafta when they campaigned in Ohio, with its struggling industrial sector, than in Texas, which has benefited from trade with Mexico.

"I didn't go to Ohio and say anything that I'm not saying here in the state of Texas," Mr. McCain said. "I support Nafta. I support free trade. I support it in Ohio, I support it in Texas, I support it all over the country."

The stark contrast between the hotly contested Democratic race and the all-but-decided Republican contest was on display at adjacent party polling places at a senior citizens housing complex on Allen Parkway, Houston's greenbelt built by oil barons to beautify their commutes downtown. At the Democratic location, 125 voters had cast ballots by 11:30 a.m. At the Republican location, exactly 5, including the two election judges, Rene Aninao, and Tom Hicks, both 26 and financial advisers.

Jared Woodfill, the Republican chairman of Harris County, said his party's vote elsewhere was "pretty heavy." He said there were also "a lot of Republicans crossing over to vote in the Democratic primary," as urged by some conservative commentators.

But on Allen Parkway, the minutes ticked by with no Republicans in sight. "Haven't had a voter since 9:30," said Mr. Aninao. Some Republicans voted in the Democratic contest in hopes of positioning either Mr. Obama or Mrs. Clinton as an easier target for Mr. McCain. Indeed, said Mr. Aninao, his parents and sister, staunch Republicans like him, had voted for Mrs. Clinton "because they think McCain actually has a better chance against her than Obama" - the same tactic that Rush Limbaugh recently suggested to listeners.

Just before noon, the lull was broken by Hien Nguyen, a cashier, and her husband, Phong, residents of the complex, who came in to vote for Mr. McCain. Now the tally was up to 7. "Percentage wise, a humongous jump," Mr. Aninao declared.

Reporting was contributed by Ralph Blumenthal and John Broder in Houston, Michael Cooper in San Antonio, Andrew Jacobs in Cleveland, Michael Powell, Ian Urbina in Washington, Katie Zesima in Boston and Jeff Zeleny in Austin.
 
Kwa kweli leo unapashwa kuwa mwanzo na mwisho wa Hillary, ukweli ni kwamba time ya kina Clinton, imefika mwisho nashangaa the political genius Bill hakuliona hili mapema, zile enzi zao za 90s tayari zimeisha,

I supported Hillary, lakini kama hawezi kumshinda Jaluo tu, atamuweza vipi Makeni? Hesabu zote za kisiasa zinakataa kabisa Hillary, kumshinda Jaluo at this time, hata pamoja na uchaguzi wa leo, anahitaji kumshinda Jaluo kwa points angalau 20, kitu ambacho ni impossible, time is on Jaluo's side,

Ninampenda mama, lakini ni lazima kwenda na ukweli usiopingika kuwa leo unapaswa kuwa ndio mwisho wa mama Hillary, good try, lakini wananchi wengi huko US, sio siri kuwa wanataka kuwa on the side of history in making, na mimi pia, Go Jaluo! Go!.


MKuu, hata kama mimi mke wangu angejitosa nisingemkatisha tamaa. Lakini upepo unaovuma ni mkubwa sana ni vigumu kwa Bill na Hilary kuuhimili, walikosea hesabu toka mwanzo. Walijiamini kwa asilimia 100 kuwa wanashinda, na walidhani wamarekani bado wana ule mtizamo wa WASP or similar kuwa rais, kumbe mambo yamebadilika. Ni vizuri lakini ameonesha moyo wa upiganaji, sasa hivi tunaona Obama amechukua Vermont, na inawezekana kwa kiasi fulani atachukua na Texas na Bibi inaonekana anashinda vizuri Ohio, Rhode Island sijui inakuwaje. Lakini kwa ujumla upepo ni mkali sana unaweza kumuacha uchi bibi. Baada ya saa mbili tunaweza kujua kila kitu!
 
Congratulations to John McCain for securing the nomination.....now bring on that little scrawny Jaluo boy...
 
Kheee!!! Icadon, YNIM, Koba, Susu....mko wapi leo?

Kitila kaka njoo bana tupige stori kwani mambo leo bien!
 
Back
Top Bottom