US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Kaka ndio nimeamka hapa saa ndio saa 10.45 asubuhi, ndio nakutana na hii kitu: CNN projects Clinton wins key state of Ohio

Sasa unafiri mimi nina cha kusema tena zaidi kucheka tu hapa, acha kabisa!

..kawacheke wenzako wa kiteto!
 
Pamoja na ushabiki kwa Obama na Clinton unaoendelea hapa nadhani ni vizuri kujikumbusha kuwa atakayeshinda nomination ya DNC ana kimbembe kupambana na Babu na GOP... ngoma bado mbichi!
 
Small chance. Hawezi kuchukua TX, kwasababu ukiangalia the counties anazo-win Clinton, ni ones zina very small population, na anamzidi Obama in very small margin--In the the meantime, Obama ana win all places kwenye population kubwa,so far ana-lead Houston, Dallas and even Austin...

.............wacha niendelee kupata Cappuccino yangu hapa.........Texas still very competitive!!
 
Pamoja na ushabiki kwa Obama na Clinton unaoendelea hapa nadhani ni vizuri kujikumbusha kuwa atakayeshinda nomination ya DNC ana kimbembe kupambana na Babu na GOP... ngoma bado mbichi!

Ndio hicho mimi najaribu kuwakumbusha hapa....Republican onslaught ikianza bwana...kutakuwa na songombingo..

Nimependa signature yako..
 
...mama propaganda tuu maana numbers doesnt add upp,sitashangaa delegate gap ikaongezeka tonight!
 
Shukrani Nyani,

Watu wanasahau Bush alishinda 2nd term pamoja na mbwembwe nyingi za Dems na wapambe wao movie stars, celebs kibao waliokuwa wanawapigia debe.

Kwa kuangalia tu zile shamrashamra na hekaheka ungedhani Bush hapiti ng'o lakini ilivyofika kwenye kura Dems hoi bin taabani... Mimi yangu macho!
 
Ushindi wa Mama kule Ohio na Rhode Island ulitegemewa tena kwa large margin. Kwa hiyo hii wala sio kitu cha ajabu. Unajua hata TX walipredict atashinda mama lakini inaonekana ku-loose.

Nyani na wenzako hongera naona mmepata cha kushangilia baada ya majonzi ya muda mrefu hahahahaha.
 
Icadon upo?
Naona security detail ya Obama si mchezo....

Aliyemuongezea Obama walinzi anajua nini alikuwa anafanya lol...kumbuka hii ni thread ya Obama anything about him kinakuja hapa..

Anyways, looks like Hilly atachukua TX as well, so far idadi ya delegates ni,
Obama 1,419
Clinton 1,333

Ila tuwe wa kweli na nafsi zetu mwaka mmoja uliopita hakuna aliyekuwa anajua kuwa Obama atakuwa front runner, achilia mbali kushinda primaries na caucuses zote baada ya super tuesday mpaka leo, asiyekubali kushindwa si mshindani
 
Ushindi wa Mama kule Ohio na Rhode Island ulitegemewa tena kwa large margin. Kwa hiyo hii wala sio kitu cha ajabu. Unajua hata TX walipredict atashinda mama lakini inaonekana ku-loose.

Nyani na wenzako hongera naona mmepata cha kushangilia baada ya majonzi ya muda mrefu hahahahaha.

Hahaha...asante bwana pamoja na vidongo subliminal...
 
Mpo? Mapambano mpaka dakika ya mwisho. Mama Oyee...
Nyani, keep it up!
 
Nyani umekwisha,endeleeni na hiyo spin lakini ukweli mnajua hamuendi popote!
 
Aliyemuongezea Obama walinzi anajua nini alikuwa anafanya lol...kumbuka hii ni thread ya Obama anything about him kinakuja hapa..

Anyways, looks like Hilly atachukua TX as well, so far idadi ya delegates ni,
Obama 1,419
Clinton 1,333

Ila tuwe wa kweli na nafsi zetu mwaka mmoja uliopita hakuna aliyekuwa anajua kuwa Obama atakuwa front runner, achilia mbali kushinda primaries na caucuses zote baada ya super tuesday mpaka leo, asiyekubali kushindwa si mshindani
Reporting 5%
 
Nyani umekwisha,endeleeni na hiyo spin lakini ukweli mnajua hamuendi popote!

Hakuna cha spin hapa...Mama anashinda majimbo ambayo Democrats huwa wanashinda ktk general election...anakoshinda Obama kamwe hakutaenda Democratic come November...usiniambie Obama atashinda Georgia au Sotu Carolina....lakini cheki Mama Ohio...Arizona....Oklahoma...Tennessee....hakuna spin hapa....ni reality tu. Sasa wewe kama reality unaiona spin basi kipigo cha leo kimekuuma sana hadi hujitambui
 
Mzee si umesema unaswitch camp au unakuwa kama John Lewis mambo yakiwa si mambo unahama, yakitengemaa unarudi?

No...msimamo wangu bado uko palepale...Mama asipochukua,,,nahamisha kambi kwa sababu sijafurahishwa na treatment anayopata
 
Back
Top Bottom